‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.

Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo ili kuiangusha na kuiondoa hewani.

Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.

UPDATE:

Yamefanyika majaribio kadhaa ya awali na JF imefanikiwa kuyashinda. Zoezi litarudiwa Disemba 8, 2018.

Tunawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
Sio siri bwana melo huu mtandao kwa sasa hauvutii kabisa bora niende zangu facebook,Instagram au WhatsApp
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom