‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Maxence Melo, kila la heri kwa majaribio ya mashambulizi ya MISSILES mtakayo fanya. Tunawaombea RADAR zenu ziyakabili kwa wepesi.

Na asante sana kwa kutoa taarifa mapema.

#mara paap thread zinabadili chama, za CHADEMA zina hamia kwa wana CCM, na za wana CCM zinahamia kwa wana CHADEMA. hahahaha itakua noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Thread za britanicca zina hami kwa Salary Slip, na za Zitto zina hamia kwa Pascal Mayalla
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo itarudi baada ya muda gani?, ila kwa mtazamo wangu maintenance ilitakiwa ifanyike mida ya usiku.
 
Kwa hiyo umewapa kazi wataalam wengine wajaribu kufanya mashambulio kama yatafika au shambulio linatoka kwenu wenyewe
 
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.

Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.

Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
Hii imekaa vema nadhani mtatest na disaster recovery program say from disaster recovery site Kama IPO.
 
Nafikiri haina tatizo, taarifa ipo very poised, it is universal for all JF Users (Who indeed have great diversity in understanding).
Ni katika kufanya taarifa ieleweke kwa wote.
Kueleweka imeeleweka Ila kitaalamu haikutakiwa kutolewa jinsi ilivyotolewa
 
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.

Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.

Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
asanteni kwa lengo lenu la kujitathimini uthabiti
 
Mkuu hili shambulio litatuathiri watu wa KUBET maana hii mida ndio ya kuchungulia odds tuweke mikeka ..
Kama vipi mngeahirisha shambulio hilo hadi jumatatu usiku usiku.

Mkifanya weekend kuna watu tutalala njaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Melo sina nia ya kukukatisha tamaa najua unajua unachofanya ila zoezi hili kama halitasaidia sana siku za mbele.

Maadui wa JF (mfano wale walioiblock April 2018) wana vitendea kazi na knowledge ya kutosha, siku yoyote watakayoona kuna ulazima wa kuiblock JF kwa mashambulizi wanaweza kufanya hivyo.

Njia pekee na ya UHAKIKA kujilinda nao ni kwa nyie kuwatumia hao hao wanaowapa maadui zenu hivyo vitendea kazi na knowledge ili wawape counter-measures ili siku ya siku muwashangaze! Ukihitaji niambie nitakwambia wapi pa kuwapata.

Bila hivyo naona mtaweza tu kuresist mashambulizi ya wadukuzi binafsi ambao sidhani kama wana muda sana na JF (labda kuitumia kwa mazoezi) lakini siyo ya watu wasiojulikana.

Tupo pamoja lakini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom