‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Melo sina nia ya kukukatisha tamaa najua unajua unachofanya ila zoezi hili kama halitasaidia sana siku za mbele.

Maadui wa JF (mfano wale walioiblock April 2018) wana vitendea kazi na knowledge ya kutosha, siku yoyote watakayoona kuna ulazima wa kuiblock JF kwa mashambulizi wanaweza kufanya hivyo.

Njia pekee na ya UHAKIKA kujilinda nao ni kwa nyie kuwatumia hao hao wanaowapa maadui zenu hivyo vitendea kazi na knowledge ili wawape counter-measures ili siku ya siku muwashangaze! Ukihitaji niambie nitakwambia wapi pa kuwapata.

Bila hivyo naona mtaweza tu kuresist mashambulizi ya wadukuzi binafsi ambao sidhani kama wana muda sana na JF (labda kuitumia kwa mazoezi) lakini siyo ya watu wasiojulikana.

Tupo pamoja lakini.
Kweli mkuu pia naona njia uliyopendekeza na pia waangalie jinsi ya kuweka mapapeti kwenye hizo idara ili kujua kama wana mipango gani juu ya JF!!
Tuwe na kitengo cha Intelligensia kunusa haya matukio! Maana mpaka sasa tunajua matukio kama haya yanatikea sana kukiwa na tukio kubwa kama uchaguzi na matukio yanayoihusu serekali
 
Mbona imeshaanza kukataa ku-sign out? Nataka kuhfadhi pm zangu zisivurugike nimekusanya namba nazifanyia kazi taratibu, plz.
 
Asante kwa taarifa kiongozi.
Bora umetueleza mapema maana lazima wengi wetu tungeingiwa mashaka na kuteseka aisee.
 
Shukrani kwa taarifa.

Hii imenikumbusha kipindi nipo mdogo nilikuwa nikicheza michezo ambayo yatakiwa kuwa na pande mbili (team 2)..Lakini nilikuwa nikivaa uhusika wa pande zote mbili, kushambulia na kujishambulia[emoji23][emoji23].
 
  • Thanks
Reactions: etb
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom