Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
Consumersila kwa lugha ya malkia tunatambulika kama clients
Consumersila kwa lugha ya malkia tunatambulika kama clients
yaani nilicheka hiyo comment ...Hii inaitwa mwana ukome
consumers etiConsumers
akili ya mtu haijawahi kupimwa kwa comments anazotoa humu jf wengine huwa wanamchaenji mleta uzi
Kina nani?Mkuu Max, hawa hawatuwezi ni wajinga.
Tutapambana nao vilivyo kulinda heshima ya JF.
Yaani kamati ya ufundi imekesha usiku kucha, kila wakija wanakutana na msemo kwenye ujumbe usemao, "back off"
Usicheze na JF.
Mkuu, tupo vizuri; tumejipanga
Ha haaaa huu uzi mtamu sanaMkuu soma tena thread hahaha Max leo kazi unayo
Wewe kweli Buffalo mnyama [emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu nakushauri ulinde hadhi ya Jf. Kuna wakurupukaji humu wasiojua kujenga hoja na kutoa mada ovyo ovyo. Hutakiwi kuwapa JF EXPERT MEMBERSHIP.
Hahaha! Ninayo kazi kwelikweli. Watu hawaelewi kwakweli, na hapo nimetumia lugha rahisi
Hii zaidiii ya mzuka kabisaMkuu Max, hawa hawatuwezi ni wajinga.
Tutapambana nao vilivyo kulinda heshima ya JF.
Yaani kamati ya ufundi imekesha usiku kucha, kila wakija wanakutana na msemo kwenye ujumbe usemao, "back off"
Usicheze na JF.
Wewe kweli Buffalo mnyama [emoji28][emoji28][emoji28]
Hii zaidiii ya mzuka kabisa
Ukipata nigaie 5000Ww ukiwa kama ndg yangu unaweza kunikopesha elf 30 kabla mashambulio hayajaanza
Naam, jaribu ila ingependeza tukupangie siku yako
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu kama nimekuelewa vile..ila sio rahisi kiivyo ukikopeshwa kesho mapema unagongewa mlango.Ww ukiwa kama ndg yangu unaweza kunikopesha elf 30 kabla mashambulio hayajaanza