Nilitania tu mkuu! Usichukulie serious...Oh sorry will tag you next time inshallah ikitokea kamahivi
[emoji13][emoji13][emoji13]Tunaweka CCTV sawa ili ijulikane itapotelea njia ya Kawe au wapi.
Nilitania tu mkuu! Usichukulie serious...
Nawe unakaba mpaka penati khaa[emoji23]Nasubiri nione hiyo namba ataiomba wapi na ataisave wapi dear.
Namcheki tuu nacheka hihihihihiiii
sumbai
Aisee, inakera sana hii kitu, wanawashambulia wakijisikia maana hii itakua Mara ya tano sasa kama sijakosea, nashauri mtumie server za kisasa zenye mechanism ya kuzuia mashambulizi ya denial of service attacks, NARUDIA TENA, TUMIENI SERVER ZA KISASAKuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.
Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.
Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.
NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
Mzee hii ni stagedAisee, inakera sana hii kitu, wanawashambulia wakijisikia maana hii itakua Mara ya tano sasa kama sijakosea, nashauri mtumie server za kisasa zenye mechanism ya kuzuia mashambulizi ya denial of service attacks, NARUDIA TENA, TUMIENI SERVER ZA KISASA
Na mimi pia nitapiga shambulizi langu, hivyo yatakuwa saba...Mkuu, tupo vizuri; tumejipanga
Akina nani sasa haoHapa ndipo tuamini JF ni mwiba sana kwa awamu hii.
Kwa jina la Yesu washindwe na walegee.
Kwa nini unadhani wanajaribu bila experience?Madhara ya kujaribu vitu bila experience ni mabaya sana....kama lengo ni kujaribu iwapo shambulizi la aina yoyote litatokea basi Nawashauri muwe makini na mtumie weledi maana mnaweza mkaiathiri hii server hasa katika taarifa za siri za Sisi watumiaji....Be careful guys...wishing u all the best Maxence Melo
Aisee, inakera sana hii kitu, wanawashambulia wakijisikia maana hii itakua Mara ya tano sasa kama sijakosea, nashauri mtumie server za kisasa zenye mechanism ya kuzuia mashambulizi ya denial of service attacks, NARUDIA TENA, TUMIENI SERVER ZA KISASA
Hilo shambulizi lisifike PM jamani wengine tunaendelea na matongozo yetu huko
Na ww had jaelewa it seemshao mahacker washindwe kwa jina lako love
KWELI NIMEAMINI WATU HAWALALI WENGINE TUKIANGAIKA KUPOST KWA AJILI YA KUTOLEA ELIMU KWA RAIA HUMU JF KUBADILISHANA MAWAZO WENGINE HAWALALI KUISHAMBULIA JF IPOTEE KWELI ONLY IN TZ.....