‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Madhara ya kujaribu vitu bila experience ni mabaya sana....kama lengo ni kujaribu iwapo shambulizi la aina yoyote litatokea basi Nawashauri muwe makini na mtumie weledi maana mnaweza mkaiathiri hii server hasa katika taarifa za siri za Sisi watumiaji....Be careful guys...wishing u all the best Maxence Melo
 
Maxence Melo, kila la heri kwa majaribio ya mashambulizi ya MISSILES LAUNCH TESTS mtakayo fanya. Tunawaombea RADAR zenu ziyasome na kuyakabili kwa wepesi.

Na asante sana kwa kutoa taarifa mapema.

#mara paap thread zinabadili chama, za CHADEMA zina hamia kwa wana CCM, na za wana CCM zinahamia kwa wana CHADEMA. hahahaha itakua noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Thread za britanicca zinahamia kwa Salary Slip, na za Zitto zina hamia kwa Pascal Mayalla

Halafu za Ben Saanane zinahamia kwa DC wa dar. Sijui sinema yake itakua vipi.[emoji18]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom