Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,224
- 16,905
sijakuelewa mkuu, unasema??Na ww had jaelewa it seems
sijakuelewa mkuu, unasema??Na ww had jaelewa it seems
Nadhani wangetengeneza JF Copy wailipue huko kupima kama italipuka!Madhara ya kujaribu vitu bila experience ni mabaya sana....kama lengo ni kujaribu iwapo shambulizi la aina yoyote litatokea basi Nawashauri muwe makini na mtumie weledi maana mnaweza mkaiathiri hii server hasa katika taarifa za siri za Sisi watumiaji....Be careful guys...wishing u all the best Maxence Melo
Hahaha mpige ban mzaziHii inahusiana na kilichoandikwa hapo juu mkuu? Hata wewe kuna watu watakulalamikia kwa kuingiza hoja ndani ya hoja (off-topic) na ukisoma sheria za JF zinazuia [emoji4]
HahaaaMkuu nakushauri ulinde hadhi ya Jf. Kuna wakurupukaji humu wasiojua kujenga hoja na kutoa mada ovyo ovyo. Hutakiwi kuwapa JF EXPERT MEMBERSHIP.
Hahaa haa haaa ...Hii inahusiana na kilichoandikwa hapo juu mkuu? Hata wewe kuna watu watakulalamikia kwa kuingiza hoja ndani ya hoja (off-topic) na ukisoma sheria za JF zinazuia 😊
hahaaMimi nawachangia kopo nne za mafuta ya kupikia mkiwa kwenye mapambano, kila la kheri JFView attachment 928366
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naunga mkono hojaMtubakizie MMU yetu tu..
Mkiendelea na mashambulizi yenu
Mteja habari yakoTafadhali sisi siyo wateja, hatununui huduma kwa JF, ifahamike kuwa sisi tunafahamika kama wadau, wanabodi, wakuu...
Mimi ni teja kwako!!!!!Mteja habari yako
Tupo pamoja kwenye shida na raha
Hii inaitwa mwana ukomeHii inahusiana na kilichoandikwa hapo juu mkuu? Hata wewe kuna watu watakulalamikia kwa kuingiza hoja ndani ya hoja (off-topic) na ukisoma sheria za JF zinazuia [emoji4]
daaah.hawa jamaa wanataka nini hasa ?
Aisee, inakera sana hii kitu, wanawashambulia wakijisikia maana hii itakua Mara ya tano sasa kama sijakosea, nashauri mtumie server za kisasa zenye mechanism ya kuzuia mashambulizi ya denial of service attacks, NARUDIA TENA, TUMIENI SERVER ZA KISASA
Mimi ni teja kwako!!!!!
Wachimbe mahandak ya sisi kujifichaHebu tuwekee picha ya hivyo virus, pia mrekodi video ya mapambano ili tuone vita ilivyokuwa