‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,542
Reaction score
16,814
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.

Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo ili kuiangusha na kuiondoa hewani.

Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.

UPDATE:

Yamefanyika majaribio kadhaa ya awali na JF imefanikiwa kuyashinda. Zoezi litarudiwa Disemba 8, 2018.

Tunawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
 
Mkuu nakushauri ulinde hadhi ya Jf. Kuna wakurupukaji humu wasiojua kujenga hoja na kutoa mada ovyo ovyo. Hutakiwi kuwapa JF EXPERT MEMBERSHIP.
Hii inahusiana na kilichoandikwa hapo juu mkuu? Hata wewe kuna watu watakulalamikia kwa kuingiza hoja ndani ya hoja (off-topic) na ukisoma sheria za JF zinazuia 😊
 
Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.


Mimi nawachangia kopo nne za mafuta ya kupikia mkiwa kwenye mapambano, kila la kheri JF
Cooking fat.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom