Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,236
- 3,703
Usijali ndugu yangu. Nawe pia usinisahau katika dua zako ndugu yangu.Tusisahau kuombeana kheri Pamoja na kheri kwa umma Baljurashi katika maombi yako unikumbuke ndugu.

WAKATI WA KUTOA ZAKATUL FITRI
❁○○••••┈┈•
✺━━━━┅┉┈

❒✹◉◈•┈┈•
•┈•◈◉✹❒
❒✹◉◈•┈•
RAKAA MBILI BAADA YA KURUDI KATIKA SWALA YA EID
❫ المصْــــدَرُ: ❪حسنه الألباني صحيح ابن ماجه -رقم🙁1076❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══
KUZEMBEA SWALA YA EID
Amesema Al-allaamah Muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)
❫ المصْــــدَرُ: ❪ابن عثيمين اللقاء الشهري (43❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE 
Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══
TAKBIIRA YA PAMOJA KATIKA SWALA YA EID
Amesema Al-allaamah Muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)
❫ المصْــــدَرُ: ❪ابن عثيمين نور الشريط رقم (355❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══
JE SWALA YA EID NI WAJIBU KWA WANAWAKE
Je swala ya eid ni wajibu kwa mwanamke, na ikiwa ni wajibu je ataiswali nyumbani au sehem wanayo kuswanyika watu na kuiswali?
Jawabu: sio wajibu kwa mwanamke (swala ya eid) Lakini ni sunna katika haki yake
❫ المصْــــدَرُ: ❪اللجنة الدائمة -(6505❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══
Eid ni Jumamosi shekheEid Mubarak
Eid Mubarak