Naam watu wengi wamemezeshwa hili jambo jpo kua sio kweli
HUKMU YA YULE AMBAE HAKUIKAMILISHA TARAWEHE
Aliulizwa imam Abdul Azizi bin baazi (rahimahullah)
Swali: yapi malipo ya yule ambae hajaikamilisha swala ya tarawehe pamoja na imam?
Akajibu: atapata yeye malipo kwa zile rakaa alizo swali, na wala haandikiwi yeye kisimamo cha usiku mpaka atakapo ikamilisha tarawehe pamoja na imam mpaka kuondoka kwa imam huandikiwa kisimamo cha usiku (kwa kuikamilisha tarawehe pamoja na imam)
❫ المصْــــدَرُ: ❪نور على الدرب أجر من لم يكمل مع الإمام التراويح❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

HUKMU YA FUNGA YA MWANAMKE AMBAE ALIE MEZA DAWA KWAAJILI YA KUZUIA DAMU YA HEDHI NA NIFASI
Swali: je inasihi funga ya mwenye kutumia dawa ambayo huzuia damu katika siku za kutoka damu ya hedhi na nifasi?
Amesema ibn baazi (rahimahullah): pindi akitumia mwanamke kile kinacho zuia damu kwa kutumia dawa au sindano na damu yake ikakata kwa dawa hiyo na akaoga
❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (15/ 200❫
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
Mafunzo sahihi ya ndoa

Kua muadilifu us'badili chochote
Mafunzo sahihi ya ndoa

KUNA UBAYA KWA MWANAMKE KUMEZA DAWA ZA KUZUIA HEDHI KWAAJILI YA FUNGA
Swali: nini hukmu ya mwanamke kutumia dawa ambazo hukata damu katika siku za kutoka damu ya hedhi na nifasi ili afunge?
Jawabu: Amesema ibn baazi (rahimahullah): sioni katika hili kuna tatizo pindi likiwa jambo hili haliwadhuru, na wala sioni katika hilo ubaya wowote
❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (15/ 201❫
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
Mafunzo sahihi ya ndoa
Kua muadilifu us'badili chochote
Mafunzo sahihi ya ndoa
HUKMU YA KUSENGENYA KATIKA MWEZI WA RAMADHANI
Swali: je kusengenya kunamfunguza alie funga katika mwezi wa ramadhani?
Jawabu: Amesema ibn baazi (rahimahullah): kusengenya hakufunguzi funga na vile vile kuchonganisha na kutukana na maneno mabaya
❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (15/ 320❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE 
Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══
SINDANO ZINAZO FUNGUZA NA ZISIZO FUNGUZA
Amesema Al-allaamah Muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)
❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (19/ 215❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

HUKMU YA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU YA HEDHI KABLA YA KUZAMA KWA JUWA KWA MDA MDOGO
❫ السُّــــ☟ـــؤَال : ﺻﺎﻣﺖ اﻟﻤﺮﺃﺓ ﻭﻋﻨﺪ ﻏﺮﻭﺏ اﻟﺸﻤﺲ ﻭﻗﺒﻞ اﻷﺫاﻥ ﺑﻔﺘﺮﺓ ﻗﺼﻴﺮﺓ ﺟﺎءﻫﺎ اﻟﺤﻴﺾ ﻓﻬﻞ ﻳﺒﻄﻞ ﺻﻮﻣﻬﺎ؟
Swali: amefunga mwanamke na mda wa kuzama kwa juwa na kabla ya adhana kwa mda mdogo ikamjia yeye damu ya hedhi je itaharibika funga yake?
❫ الجَـــ☟ـــوَاب : ﺇﺫا ﻛﺎﻥ اﻟﺤﻴﺾ ﺃﺗﺎﻫﺎ ﻗﺒﻞ اﻟﻐﺮﻭﺏ ﺑﻄﻞ اﻟﺼﻴﺎﻡ ﻭﺗﻘﻀﻴﻪ،
Jawabu: pindi ikiwa damu ya hedhi ilimtoka kabla ya kuzama kwa juwa basi funga yake imeharibika na atakuja kuilipa siku hiyo (baada ya ramadhani)Fatwa ya lajnah ya kudumu
❫ المصْــــدَرُ: ❪فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَة, اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ 10343❫
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
Mafunzo sahihi ya ndoa

Kua muadilifu us'badili chochote
Mafunzo sahihi ya ndoa
HUKMU KUFUTURU NA KUPUNGUZA SWALA KWA MWENYE KUSAFIRIFatwa ya lajnah ya kudumu
❫ المصْــــدَرُ: ❪فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَة,اﻟﺴﺆاﻝ اﻷﻭﻝ ﻣﻦ اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ (10604❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══

Kua muadilifu us'badili chochote
═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══