MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,549
- 24,159
Baada ya kukaa uvunguni kwa zaidi ya siku 50..Safi sana karudi nimependa
Halafu hana hata chembe ya aibu..
Meko bhana.
Baada ya kukaa uvunguni kwa zaidi ya siku 50..Safi sana karudi nimependa
Kabisa aisee..Dr Shika Mollel ,yaani jamaa hafananii kabisa na Unaibu Waziri.
Jiwe anaonaga aibu!!?Nilisema jana. Kaona aibu kumuapishia Mollel pale J's Hotel. Ngonja tusikie vijembe vya leo.
Wote wako under terror!under tension! Nyuso za woga dhahiri. Nyuso kama hizi tulikuwa tunaziona wakati wa IDD Amin anaongea namawaziri wake!Utopolo tu hapo viongozi wote wamechoka / mimi nina Imani na Mbowe tu
Jafo anakwambia tar 24 hadi 31 ni nyungu season 2.
Ipi hio?Nyungu ni reflection ya falsafa za Walter Rodney