Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,814
2,000
Mzee ameweka mambo clear hataki tena kusikia misaada ya corona. Kwamba wanaweza kutuletea barakoa zenye corona.. kama msaada unakuja basi upitie wizara ya afya.
 
Top Bottom