Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
9,197
2,000
Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Nikikueleza si unabisha? Hayo ni maagizo wote wamepewa ili kuhalalisha usanii wao
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,470
2,000
CCM ya leo ni kutengua na kuteua...

Wananchi wameshakoka kabisa na hii habari!!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,610
2,000
There you have it Victoire PROTECT yourself.

Top Bottom