Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Ban Barka

Member
Nov 28, 2019
59
125
Wanaamini Covid-19 imekwisha kwa jina la Yesu,Barakoa za nini sasa!
Kama inaweza kwisha kwa jina la Yesu mbona huko Vatikani (Italy) inaongezeka mpaka Papa Francis ameamua kufunga Peter Square na makanisa? Mungu anatupendelea sisi tu peke yetu? Hata Saudi Arabia wanaambukizwa
 

Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,426
2,000
Wakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa Vyuo Vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje,

mfano wanafunzi wanaosoma nchini Kenya, Uganda, Rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?
Tutawafundisha postgraduate kwa online
 
Top Bottom