TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
Ni kuwa serikali hiyo inawapa sehemu ya kukaa FDRL ambayo anaona ni 'adui wa kudumu'.
Kwa hiyo kumbe ana ugomvi na serikali halali ya Congo?
Ni kuwa serikali hiyo inawapa sehemu ya kukaa FDRL ambayo anaona ni 'adui wa kudumu'.
Kwa hiyo kumbe ana ugomvi na serikali halali ya Congo?
He was talking about South Africa and other European Countries sio Tz.
Kiduku huwa ana test mambo hata kupitia anga za majirani kuonesha kwamba ni mbabe hasa,Korea kusini na Japan humuogopa kiduku.Ni kweli kabisa
Huku watu wameona ni sawa tuwe na hizo ndege 12 ambazo zikishambulia wanahakikisha nusu ya population inakwisha
Sio onyo bali ni pigo takatifu
Iran kampiga Myahudi bila kumuogopa mtu na kapiga haswa ili kumuonyesha myahudi na kumuambia UKOME kabisa
Sasa huyu jirani anatuona tunapasua matofali ya udongo na commandos kuvaa manati anacheka sana
Ila tungekuwa tuna display drones 2000 kwenye maonyesha sidhani kama angefungua domo hilo
Leo Netanyahu wa kukubali suluhu na Hamas huko Qatar
Kuonyeaha silaha hadharani ni ubabe na kujiamini. Asikuambie mtu
Angalia US na hata Kiduku
Acha ujinga. Kwani JW wamefanywaje pale Goma na Bukavu?Ukweli ni kwamba hakuna nchi inayoweza kusimamia kijeshi na Tanzania hapa Africa Mashariki na kusini.
Umesahau experience and tacticts, ila wabongo sababu wamekariri mambo ya zamani wanadhani ni rahisKwani ameshapona?
Anyway asipuuzwe huyu gorilla fighter kwa sababu vita vya kileo sio vya wingi wa wanajeshi bali vita vya siku hizi vita inapimwa na vifaa,technologia,skilled force na bajeti ya ulinzi na usalama
Kama Kuna hasimu wake alipoteza maisha akiwa huko huko Africa Kusini bado wamtilia mashaka!!! Ni kweli Vita ya Wazi South Africa wapo juu ya Rwanda. Lakini, espionage na counterintelligence nadhani Rwanda wamejipanga! Msisitizo nadhani!...kijeshi hasa akiijumlisha na South Africa....
Huyo anahitaji soldier mwenzake , kiongoz wa sasa ni kama hana idea na mambo ya kijeshiHuyo ni kiboko Yake JK tu
Yaaani mnateka, kuua na kufira wanaowakosoa alafu mnategemea Rwanda akivamia muungwe mkono?Tanzania sio wapuuzi kama Kenya ama Rwanda.
Tanzania sio wajinga kiasi hicho mzee weka hilo akilini.
Hatuwezi kugawanyika wakati wa vita,kama chuki iko baina yetu na tutaimaliza sisi wenyewe sio kwa external influence.
Wanahangaika na mambo madogo.Viache kua busy na chadema na wakosoaji wa mama wahangaike na mambo kama hayo???
Mkundu babu yako mtoto wa kahaba wewe.Sikiliza we mkundu wewe,sio Kila anayeleta hoja kutetea serikali yeye ni CCM.
Mie ni mwanasiasa na nina uanachama wa ACT wazalendo tawi la Chang'ombe,ila linapokuja suala la nation interests HUWEZI ukaleta uchama matako wewe.
Wewe una uhakika kama Tanzania haijafanya maboresho yeyote kijeshi?
Wewe una uhakika Tanzania haijajipanga kwa lolote!??
Anaepigana ni rais au wanajeshi??
Matako mkubwa wewe.
Sasa ACT Wazalendo wana tofauti gani na CCM? Nyie si ndo madalali wa CCM?Sikiliza we mkundu wewe,sio Kila anayeleta hoja kutetea serikali yeye ni CCM.
Mie ni mwanasiasa na nina uanachama wa ACT wazalendo tawi la Chang'ombe,ila linapokuja suala la nation interests HUWEZI ukaleta uchama matako wewe.
Wewe una uhakika kama Tanzania haijafanya maboresho yeyote kijeshi?
Wewe una uhakika Tanzania haijajipanga kwa lolote!??
Anaepigana ni rais au wanajeshi??
Matako mkubwa wewe.
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Unazungumzia drone za kuchukulia picha? Real time strike drones ni zaidi ya mil 100, aliyopiga nayo picha pk ni drone kutoka uturukiDrone ni hela zako tu, ukiingia hapo China na bilioni 100 unazichukua za kutosha. So Rwanda kuzimiliki sio kwamba Tanzania ni dhaifu
Kuna wakati hata ukipita na panga karibu yangu lazima nikuogope 😂😂Kiduku huwa ana test mambo hata kupitia anga za majirani kuonesha kwamba ni mbabe hasa,Korea kusini na Japan humuogopa kiduku.
Alafu hajiulizi pia kuwa vipi nae Rwanda akiweka wachina pia? Hawajui kuwa Mercenary anaenda penye hela tuJe hao wachina utawaweka mpk uvamiwe?
Hawamuogopi kiduku ila wana avoid escallation, kiduku mwenyewe anavoid hilo ana anajua kabisa, is why anapiga kelele na matisho kibao ila hawez attempt kusababisha escalationKiduku huwa ana test mambo hata kupitia anga za majirani kuonesha kwamba ni mbabe hasa,Korea kusini na Japan humuogopa kiduku.
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Tofautisha vita yako na vita ya kumsaidia mtu ambaye na yeye hajielewi. Shida bongo tuna tabia ya kusifia kila kitu. Huyo ndugu yenu hana akili hizo mnazozisema ndo maana watu wamemuacha tu.Vitisho?. Wakati juzi kawapiga mmekimbia wenyewe DRC. Si mlijidai kunguru apigwe ila mkapigwa nyie.
Siongelei Polisi wala usalama. Naongelea Jeshi la Wananchi wa TanzaniaVyombo gani na Ulinzi unavyovizungumzia wewe??.
Hawa Chawa wa CCM ambao Intelijensia Yao imejikita ni wapi alipo Gwajima, CHADEMA wanafanya nn??.
Hatuja Jeshi , huo ndio ukweli, huwezi kua na Jeshi la kichamachama ukategemea liwe Imada.
Kagame alikua kuliabisha sana JESHI la CCM.