Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Hujuwi
 
Unajua uwezo wake? Israel yenye watu 8mln imempiga Iran yenye watu zaidi ya million 100 kwa siku 12 mpaka rais wao hajaonekana mpaka leo akiogopa kuuliwa🤣🤣🤣🤣
Acha kulinganisha Simba na mbwa, yaani Waisraeli ndio ulinganishe na Rwanda? Mbona ni vitu 2 tofauti?
 
Ujue ccm imeshaiharibu sana nchi hii na haifai tena kuendelea kuiongoza, shida inakuja kwwnye utayari na umakini wa vyama vya upinzani, especially CDM, hizi humu zilizojaa ndio mindset zetu wanachadema, ni very very short-sighted unthoughtful minds
 
Wale walio mbali anamaanisha South Africa 🇿🇦 si kichaa huyu.
 
Acheni uongo. SADC walikuwa wameanza kuivamia Rubavu, ndipo Rwanda wakaingia mzigoni. Kama hujui kitu kaa kimya. Tushukuru Rwanda waliwaonea huruma wakawateka nyara tu na sio kuwaua wanajeshi wote wa SADC.
Unamdanganya nani wewe jamaa?
SADC hawakuhusika kwenye confrontation yeyote Ile,hayo maeneo yote inayosema wewe walikua askari wa DRC,na wao walianza kujisalimisha bila upinzani,nimekua nikifuatilia ule mzozo hadi redioni aisee pia huko ndugu tunao pia.
 
Anasema wanaotishia Kigali wakiwa mbali kabla hawajaipiga Kigali watawafuata huko huko. Anasema RPF wanaweza kupigana 2000km kwa miguu!

My take, kusema watawafuata huko huko kabla hawajashambulia Kigali ni ujumbe kuwa wapo "huko" tayari wanasubiri amri tu! Tuwe makini hasa mamluki ndani ya vyombo.

RPF wapo Msumbiji, Ile ilikuwa strategic move, calculate distance ardhini na baharini.

Jamaa Wana guts yakutua na Ndege karibu na Kinshasa na kutaka kumchomoa Mobutu (operation Katona chini ya Kaberege)..

Hiko kizazi cha hao jamaa kina roho ngumu tuwe makini nacho, tusilete mzaha.

ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Rwanda Kuna umoja sio kama huko bongo. Kwa Sasa tumeufuta uhutu na utusi, tunajitambulisha kama wanyarwanda.
Acha uongo wa kipuuzi wewe, Rwanda hakuna umoja,tuna raia ambao wametoka Rwanda wako TZ wengi tu ambao wanamchukia Kagame.
Rwanda ni nchi ambayo bado Kuna ukabila,na mind you kama hakutakuwa na succession nzuri ya uongozi huwenda mapigano ya kikabila yakazuka tena.
 
Unamdanganya nani wewe jamaa?
SADC hawakuhusika kwenye confrontation yeyote Ile,hayo maeneo yote inayosema wewe walikua askari wa DRC,na wao walianza kujisalimisha bila upinzani,nimekua nikifuatilia ule mzozo hadi redioni aisee pia huko ndugu tunao pia.

Unaongea tu hapa. Sisi tunaoishi huko tunajua kila kila kitu. Majeshi ya SADC wakishirikiana na majeshi ya FDRC walioanza kuishambulia Rubavu ambapo Makao yake Makuu ni Gisenyi, Kwa msaada wa air defence Rwanda wakaweza kuzuia mashambulizi na ndipo majeshi ya RDF yakaingia ndani ya DRC na kuyachakaza majeshi ya SADC na kuyateka nyara. Sisi tuliopo Gisenyi ndio tunajua kilichotokea.
 
Kwani anayepigana vita ni mama? Jeshi lipo kwa ajili hiyo.
Nchi ipi uliona imeenda kupigana vita na Amiri Jeshi Mkuu Mama?
Askari wa Kagame hapo juzi tu walipowasachi wanajeshi wa SADC ulikuwa bado unanyonya?
 
Mkuu unadhani Hawa Chinga wanaweza kuwa kama GenZ?😎 Wachuuzi ambao ndo idadi kubwa ya vijana wa kitanzania hawawezi ngoma siku mbili mfululizo au kuandamana.
Kabisa bora October tukatiki tu
 
Unaongea tu hapa. Sisi tunaoishi huko tunajua kila kila kitu. Majeshi ya SADC wakishirikiana na majeshi ya FDRC walioanza kuishambulia Rubavu ambapo Makao yake Makuu ni Gisenyi, Kwa msaada wa air defence Rwanda wakaweza kuzuia mashambulizi na ndipo majeshi ya RDF yakaingia ndani ya DRC na kuyachakaza majeshi ya SADC na kuyateka nyara. Sisi tuliopo Gisenyi ndio tunajua kilichotokea.
Nina ndugu wapo huko kwa mwamvuli tofauti Moja wapo amerudi na jeshi la SAMIDRC,unamdanganya nani!?
Hakuna askari wa SADC hususan TZ aliyeingia front,askari wa DRC ndio walikua front,pia awamu hii sio TZ Wala South Africa ambao walikuja na silaha zao na ndio maana hata vita ilionekana ngumu kidogo.
Silaha walizozikuta ni duni huko Congo.
Nina ndugu wanajeshi mzeee usinidanganye.
 
Huyu ana tatizo la maniac syndrome, ni hali ya kujiona we ni mkubwa kuliko hali halisi.
 
Acha uongo wa kipuuzi wewe, Rwanda hakuna umoja,tuna raia ambao wametoka Rwanda wako TZ wengi tu ambao wanamchukia Kagame.
Rwanda ni nchi ambayo bado Kuna ukabila,na mind you kama hakutakuwa na succession nzuri ya uongozi huwenda mapigano ya kikabila yakazuka tena.

Wewe wasema. Halafu watu wawili ndio kipimo Cha ukabila?. Rwanda Ina serikali ya umoja wa kitaifa ambapo Waziri Mkuu anatokea upinzani, Sasa vita vitakujaje . Sio huku kwenu kila mtu CCM. Halafu nenda Rwanda ukaone Hali ilivyo.
 
Nina ndugu wapo huko kwa mwamvuli tofauti Moja wapo amerudi na jeshi la SAMIDRC,unamdanganya nani!?
Hakuna askari wa SADC hususan TZ aliyeingia front,askari wa DRC ndio walikua front,pia awamu hii sio TZ Wala South Africa ambao walikuja na silaha zao na ndio maana hata vita ilionekana ngumu kidogo.
Silaha walizozikuta ni duni huko Congo.
Nina ndugu wanajeshi mzeee usinidanganye.

Nakupa challenge. Katafute video ya mapambano kati ya majeshi ya SANDF na M23, mpaka Kambi ya SANDF ikatwaliwa. Msidanganye watu kabisa. Majeshi ya SADC yalishirikiana na FDRC kuivamia Gisenyi wakashindwa. Jiulize Nini kilisababisha majeshi ya SADC yawekwe Chini ya ulinzi?
 
Back
Top Bottom