Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

🤣🤣 Kura yako kaa nayo nyumbani kwa wivu mkubwa ukipanga foleni tu ujue ushatapeliwa
Unaweza kuibiwa hata ukiwa nyumbani! CCM wakiamua jambo wataiba mpaka zilizoko nyumbani.Mrema aliibiwa mpaka ya mkewe.😀
 
General Mkunda aliwahi kuonya kuwa kuna ambao siyo raia wapo hapa Tanzania na wamepewa kazi nyeti kwenye maeneo sensitive ya serikali,na bila shaka hawa wanyarwanda ni miongoni mwao, sina hakika kama kuna hatua zilichukuliwa dhidi yao.
Naona watawala wako busy na Lisu na Chadema yake kisa madaraka.
Huyu Kagame atakuwa anatujua sana,japo siamini uwezo wake kijeshi hasa akiijumlisha na South Africa.
Jeshi imara pamoja na uzalendo lakini uchumi imara wa nchi ni muhimu zaidi,kitu ambacho Rwanda haijafika kwenye kiwango cha nguvu ya uchumi kuizidi South Africa.
 
Usipoiunga mkono Serikali yako wakati wa vita ni uhaini nawe unachakazwa bila kipelekwa mahakamani kujibu shutuma .
boya yeyote atakaenigusa ndio kifo chale kimefikia siku hiyo
 
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

KAGAME Kawa mkali kama pilipili!
 
Huyu nae anajikuta lord war wa east and central africa ngoja watamshangaza na asiamini.
 
Kwahy kwa mantiki hyo tunaenda kuwa na vita ya pili ya Kagera tusipokuwa macho
 
Anaongea na uhalisia ila ww endelea kuhisi ni Mikwara , Kama aliiweza DRC iliyokuwa imara atashindwa vp kwa Danganyika ambayo wabunge wanaita watu mbwa , mara tuhamie Burundi
sipo na jamaa wa Bungeni mkuu ila huyo Kagame hakuna kitu atagusa huku mazee ninaliamini sana Jeshi la Tanzania.
 
Nakupa challenge. Katafute video ya mapambano kati ya majeshi ya SANDF na M23, mpaka Kambi ya SANDF ikatwaliwa. Msidanganye watu kabisa. Majeshi ya SADC yalishirikiana na FDRC kuivamia Gisenyi wakashindwa. Jiulize Nini kilisababisha majeshi ya SADC yawekwe Chini ya ulinzi?
Mie sio mtoto kijana,mie nilikua napata update kutoka kwa aliyekua huko,hakuna jeshi la SAMIDRC lililoingia front hususan la JWTZ.
Jeshi la Congo ndilo lililokua front.
 
Mie sio mtoto kijana,mie nilikua napata update kutoka kwa aliyekua huko,hakuna jeshi la SAMIDRC lililoingia front hususan la JWTZ.
Jeshi la Congo ndilo lililokua front.
Vipi kuhusu Askari wa JW waliouwawa? Unatuona humu wajinga kama huko kwenu uvccm eeh?
 
Drone ni hela zako tu, ukiingia hapo China na bilioni 100 unazichukua za kutosha. So Rwanda kuzimiliki sio kwamba Tanzania ni dhaifu
Issuè sio uwezo wa kununua hizo drones, swali ni kwamba kuna wana CCM wangapi ambao wako tayari kutumia hizo billion 100 kununua drones? Yaan waache kuzigawana hizo hela kisha waende kujenga mahekalu huko Mbweni na Ununio au waache kuzitumia kwa kufanyia anasa kwenye sherehe za chama kwa kuwahonga wasanii na kununua magoli, halafu eti waziteketeze kwa kununua drones za kuwalinda watanganyika? Watanganyika ambao hawana thamani machoni pa maccm zaidi ya kuwapigia kura tu???

Kaka/dada hapa suala ni kipaumbele na matumizi sahihi ya akili na sio affordability.

Kagame anaongea kwa jeuri na dharau kwa sababu ana matumizi sahihi ya akili kuliko viongozi wa ccm.
 
useless citizen
Ndio kauli zenu nyie maccm na machawa wao, mkishavimbiwa supu na sambusa ambazo mmenunua kwa pesa mlizowaibia watanganyika, huwa mnaropoka tu maneno hata kwenye mijadala serious.

Siku zenu zinahesabika.
 
Ndugu yangu! Usilo lijua ni Sawa na usiku kiza! TPDF si dhaifa kama unavyodhani, lipo more advance,kuna mengi yamefanyika na yanaendelea kufanyika kimyakimya, kama bado unamtazamo wa jeshi lileee lililopigana vita ya Kagera! Basi unakosea Sanaa,kuna Idadi kubwa ya vijana wenye uwezo wamekuwa walipelekwa urusi kwa mafunzo ya muda mrefu,takriban miaka 6 kwa bechi ya kozi moja,TPDF inafanya kazi zake kwa usiri na umakini mkubwa Sanaa,Tofauti na watu wanavyoifikiria.
Urusi ina kipi cha kufundisha sasa? Silaha zake ndo watu wanazikimbia saivi wanaenda kununua silaha za uturuki.

Uimara wa Urusi saivi ni Nyuklia tu sio silaha nzuri za kivita. Yeye mwenyewe anasaidiwa na North Korea vita ya Ukraine saivi.
 
rwanda-bayraktar-turkey-baykar.png

Rwanda hivi sasa wana process za kuanza kutumia stealth drones na zina AI..
Lets be careful... huyu mzee akiachiwa hivi pasipo kuchukua tahadhari, miaka 10/20 baadae tukikaa kifala tutashindwa hata kumgusa..
Watu huwa hawaelewi ni kwanini US huwa kuna mataifa hataki kabisa yawe na nuclear weapons, wanamuonaga kama ni muonevu.

Hapo nilipopa bold pana maana kubwa mno.
 
Back
Top Bottom