Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?


View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Jeshi tangu limekuwa taasisi ya CCM, limekuwa legelege mno
 
Kuna ule wimbo wa Leka tutigite
Kuna mstari unasema "Kigoma ya sasa, siyo kama ya zamani"
Na mimi nakazia, "Tanzania ya sasa, siyo kama ya zamani".
Huwezi kupambana Rwanda kwa sasa na hao wanajeshi wako wa kujificha msituni
Hujui Siri za jeshi na jeshi lipoje.
Gusa sovereignty ya nchi husika ndio utaona kitakachokukuta.
 
Tz imeidharau Rwanda tu ili kuendelea kujenga uchumi wake maana vita hurudisha nyuma maendeleo, Ile Rwanda wiki haiishi imepukutika, ni kama mbwa anaebweka ndani ya geti!!
Ni vita Gani Tanzania iliwai shinda?.
Rais wa kwanza alitangaza Vita ya ujinga,umaskini na maradhi.. akafa uku umaskini na ujinga ukishamili na maradhi vikishamili
alijua anafight unwinnable war.
Nb; kagame ni mtu smart sana nitamsapoti akiimega Tanzania.
 
Nini kimelipata jeshi la SADC huko DRC mashariki walipokumbana na M23 yenye support ya Rwanda??
SAMIDRC walienda bila hata vifaa vizito vya mapigano.Walitegemea silaha chache ambazo walizikuta kule kule Congo.
Hili lilifanya hali ya mapigano iwe ngumu,pia hakuna confrontation yeyote iliyotokea kati ya jeshi la SADC na m23,maeneo yote yaliyobebwa kulikua na wanajeshi wa DR Congo.
 
Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Yeye anaongea akiw na ushaid aya rudishe wagumba wenu kule DRC muone cha mtema kuni
 
Kiongozi wa Nchi ndogo namna hiyo, hawezi kuongea Lugha Mzito namna hiyo mbele ya Vyombo vya Habari Et awe anaongea bila uhakika wa Maneno yake !!.

Kagame amekua kutuvua nguo kwakweli !!alianza kutupa Kichapo mpaka tukaomba kujisalimisha na sio tu kujisalimisha, akatuamuru turudi tulipotoka🤣🤣.

Embu Fikiria, unatoa Wanajeshi wako, unawapeleka Mahali Kwa lengo kusaidia ila wanapigwa, wengine wanauliwa, na Mwisho wewe mwenyewe Unaomba Msamaha Unaomba ujiondoshe !! Hivi hao waliouwawa ,Gharama yao ndio kujiondosha?. Kwann mlienda Sasa, Kwann msingetulia tu ?

Tulishasema hapa kua!! DOKEZO - Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!
Aibu sana. CCM ndio adui namba Moja wa nchi yetu
 
Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Kitu usichojua ni kuwa DRC wana jeshi bora kuliko Tz , achana na hz data za kisiasa
 
Viazi wa ccm siku zote hoja zenu huwa ni nyepesi sana maana vichwa vyenu huwa mnafugia nywele tu.

Sasa kwa akili yako Rwanda ya kipindi cha JK(almost 10 years ago) utailinganisha na ya sasa hivi?

Haya, huyu amri jeshi mkuu(mama yenu anayejua kufuga machawa tu) utamlinganisha na amri jeshi mkuu wa wakati ule ambaye kwanza alikuwa ni mwanajeshi(Kikwete)...?

Mtu anayeiongoza wizara kipindi hiki(mwanamke ambaye hajui kushika hata darubini) utamlinganisha na aliyekuwa anaiongoza wakati ule(Hussein Mwinyi) ambaye ana taaluma ya mambo ya kisheji)

Hivi umewahi kufuatilia jinsi Rwanda walivyo modernize jeshi kwa hii miaka ya karibuni? Je, nyie kuna kipi mmefanya kwenye JWTZ hili kuendana na mabadiliko ya kidunia msiachwe nyuma?

Yaan kabisa umekaa hapa unaibeza Rwanda kwa hizi hoja dhaifu kwamba eti JK aliwapiga biti miaka ile wakanywea basi hawana uwezo wa kutufanya kitu?

Kweli sasa nimeamini nyie wabongo hasa mashabiki wa ccm ni maiti, wewe endelea kumshabikia samia huku ukimbeza Kagame wakati yule ni mtu mwenye akili kuliko nyie maccm yote
Sikiliza we mkundu wewe,sio Kila anayeleta hoja kutetea serikali yeye ni CCM.
Mie ni mwanasiasa na nina uanachama wa ACT wazalendo tawi la Chang'ombe,ila linapokuja suala la nation interests HUWEZI ukaleta uchama matako wewe.
Wewe una uhakika kama Tanzania haijafanya maboresho yeyote kijeshi?
Wewe una uhakika Tanzania haijajipanga kwa lolote!??
Anaepigana ni rais au wanajeshi??
Matako mkubwa wewe.
 
Hivi huo usiri husaidia nini? ikiwa mataifa yenye nguvu za kijeshi kama China, Russia, Iran, Israel, Turkey n.k huonyesha uwezo wao kijeshi, hii Tanzania kuna siri gani?

Hio siri inasaidia nini?
Mkuu hizo nchi ulizotaja zinaonesha asilimia 20 ya nguvu zake sio zote.
Mathalan tuitaje tu hiyo Iran,vita yake dhidi ya Israel Kuna makombora mawili yalitumika hakuna aliyewahi dhania kama yapo.
 
Kwa kuwaza tu au kiuhalisia?
Kwa Sasa wanamiliki eneo kubwa la Jimbo la kivu

Uganda wanamiliki Jimbo la Lituri

Burundi wameongeza udhibiti wao kule Uvira.

Dunia ya ndoto(Imagination )ni kubwa kuliko ulimwengu halisi
What if ikitokea ?
 
Ni kweli Mkuu!Ila siasa zetu zinavyoenda unaweza Sema ukiwa nje kuwa kuwa Umoja haupo lakini inside Umoja upo.Kagame sio mjinga Kuna jambo katonya kuwa hayuko salama ndio maana kaamua kuchimba mkwara.Na hiyo ni message kwa Ramaphosa.
Acha ubishi , kwasasa serikali na raia ni mbingu na ardhi yaan raia hawawez hata shauri serikali yao hata wakitaka mfereji wa mtaa wanaogopa
 
Sikiliza we mkundu wewe,sio Kila anayeleta hoja kutetea serikali yeye ni CCM.
Mie ni mwanasiasa na nina uanachama wa ACT wazalendo tawi la Chang'ombe,ila linapokuja suala la nation interests HUWEZI ukaleta uchama matako wewe.
Wewe una uhakika kama Tanzania haijafanya maboresho yeyote kijeshi?
Wewe una uhakika Tanzania haijajipanga kwa lolote!??
Anaepigana ni rais au wanajeshi??
Matako mkubwa wewe.
Hahahaaa ACT ni CCM B
 
Jamaa ana mikwara hatari..
Anaongea na uhalisia ila ww endelea kuhisi ni Mikwara , Kama aliiweza DRC iliyokuwa imara atashindwa vp kwa Danganyika ambayo wabunge wanaita watu mbwa , mara tuhamie Burundi
 
Mmmh hawezi aisee, kwanza logistic itakuwa ni changamoto kwao, sana sana waishia kuiteka kagera kwa muda, ila in the long run, tutawapiga kwa war of attrition sababu kwanza wao ni land locked country, na ndo utakuwa mwisho wa Kagame
Kama waliweza kwa DRC watashindwa vp kwa Danganyika?
 
Back
Top Bottom