Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Acheni maneno, Rwanda anazalisha silaha latest zipi hizo? Hizo ni assembling tu, bado sioni kwamba Rwanda imeizidi Tanzania wapi, sawa wanaweza kuwa mbele kwenye drone ila hiyo sio factor ya kushinda vita na Tanzania, siku wakijichanganya akati wao ni landlocked country watajutia sana, itakuwa ndo mwisho wa Kagame, war of attrition itawatosha, baada ya mwezi mmoja hiyo stock ya drone hawataikumbuka imeisha vipi
Acheni stori za vijiweni...
Kama hamuwezi kutengeneza hilo n tatizo lene, lakini Rwanda wanatengeneza, hawaunganishi,
Kama mtu binafsi na 3D printer anaweza kutengeneza mwenyewe hizi silaha chumbani kwake, kwanini Rwanda ashindwe tena kiwandani....
1751918844309.png




Hizi hapo na Kagame wanatengeneza wenyewe Rwanda wakati nyinyi mnasubiri msaada wa silaha kutoka China ndio mpigane.


1751918916710.png
 
Ni kweli Mkuu!Ila siasa zetu zinavyoenda unaweza Sema ukiwa nje kuwa kuwa Umoja haupo lakini inside Umoja upo.Kagame sio mjinga Kuna jambo katonya kuwa hayuko salama ndio maana kaamua kuchimba mkwara.Na hiyo ni message kwa Ramaphosa.
Hakuna umoja katika nchi ya Tanzania hii nchi isije ikajiroga kuingia vita sasa hata huko tunakoelekea hali ni mbaya labda kama watapigana wana CCM tu
 
Ushahidi mnao, hivi tuna hata mafunzo ya matumizi ya drones kwa majeshi yetu?, siraha za anga je? au siraha za kujilinga na mashambulizi ya anga tupo vizuri?, au ndio yale yale tunasubiri tuvamiwe ili tukaombe msaada kwa wafadhiri wetu kama ilivyokuwa vita ile?.

Narudia tena, Tanzania kijeshi tunahitaji improvement kubwa sana, na kwa ukubwa wa nchi yetu basi hata bajeti yake inatakiwa kuwa imara haswa.
Mafunzo ya drones ya wapi mkuu?
Hapo vita inaanza ndipo mnaanza kuomba msaada wa mafunzo na kutoa order, order kuja kufika, na hao vijana kupata tu ile basics za kuendesha hizo drones, mmepigwa mmechakaa vibaya sana... yaani its too late...

Hivi sasa vita ya kisasa ni pamoja na cyber warfare, electronics warfare... huko pia tupo weupe... yaani unashangaa hizo cheng du J7G za kichina tunazoringia ambazo ni main battle fighter jet zinakuwa hacked tu, au radars zinakuwa jammed... juzi hapa Rwanda waliipiga ndege ya DRC sukhoi 25..
 

View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Isipokuwa makini hata mbwa atakucheka haaah maskini ya Mungu bikizimkaz anaamini mapesa ndo kila kitu kumbe kuna siku kitanzi kitamhusu
 
Kiongozi wa Nchi ndogo namna hiyo, hawezi kuongea Lugha Mzito namna hiyo mbele ya Vyombo vya Habari Et awe anaongea bila uhakika wa Maneno yake !!.

Kagame amekua kutuvua nguo kwakweli !!alianza kutupa Kichapo mpaka tukaomba kujisalimisha na sio tu kujisalimisha, akatuamuru turudi tulipotoka🤣🤣.

Embu Fikiria, unatoa Wanajeshi wako, unawapeleka Mahali Kwa lengo kusaidia ila wanapigwa, wengine wanauliwa, na Mwisho wewe mwenyewe Unaomba Msamaha Unaomba ujiondoshe !! Hivi hao waliouwawa ,Gharama yao ndio kujiondosha?. Kwann mlienda Sasa, Kwann msingetulia tu ?

Tulishasema hapa kua!! DOKEZO - Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!
 
Ameshoma siasa za wabaya wake akajua raia wamegawanyika sana na hiyo ndio karata yake turufu.
Tanzania sio wapuuzi kama Kenya ama Rwanda.
Tanzania sio wajinga kiasi hicho mzee weka hilo akilini.
Hatuwezi kugawanyika wakati wa vita,kama chuki iko baina yetu na tutaimaliza sisi wenyewe sio kwa external influence.
 
Alichokifanya Kikwete ni kuwasumbua Watanzania wa Kabila la Watusi ambao wengi wao wapo Tanganyika Tangu ya miaka ya 1830s
Sio kweli hizo ni nadharia zako.
Kuna parade ilipigwa pale mpakani na Rwanda ya kufa mtu.
 
Unajua uwezo wake? Israel yenye watu 8mln imempiga Iran yenye watu zaidi ya million 100 kwa siku 12 mpaka rais wao hajaonekana mpaka leo akiogopa kuuliwa🤣🤣🤣🤣
Sasa hapa ndio Umeongea unazi na uongo mtupu.
Israel katika vita ya siku 12 imepigwa kiasi EU members na USA wameomba Iran isitishe vita dhidi ya Israel.
Hivi una habari kama Malaki ya raia wa Israel wamekimbia nchi kupitia bahari kwenda Cyprus!??
Vita ya Iran umetuongopea,Israel KAPIGIKA TENA KISAWA SAWA.
Pia Masoud Pezeshkian hakujificha alionekana hadi katika maandamano dhidi ya Israel mchana kweupe pee raia wakiimba tunataka kisasi dhidi ya Israel wakimvuta suti rais wao Masoud Pezeshkian hadharani.
Na tena kile kipigo Israel amepata hasara ya majengo ya zaidi ya $20 billions.
Usitudanganye sisi sio watoto wenzako bro.
 
Mtu na miwani yake anaenda vitan
Hatuko serious kabsa
 
Vinchi vidogo Acha kabisa.


Kijapani Vs Lichina

Kiingereza Vs quarter of world.
Now kirwanda Vs Litanzania.

Hapa naona kipondo kinakuja.Kigoma yote itachukuliwa na wanyarwanda
Kigoma itakwenda Burundi
Rwanda yeye labda achukue Benako, Karagwe na kyera na wilaya Ngara akijitahidi sana.
Ila bongo sio wanyonge kiasi hicho
 
Back
Top Bottom