Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Namaanisha pamoja na hayo mapungufu, drone sio kitu cha kuringia kwa dunia ya sasa.

Hivi ujajua kuna ma engineers wa silaha kutoka Asian countries wapo wameajiriwa na nchi za ki Africa?

Sio issue kabisa hata kwenye drone, ukiwa na central command ukawaweka wachina 10 wanatosha kabisa kuipa joto Rwanda
Je hao wachina utawaweka mpk uvamiwe?
 
Kinchi kama Rwanda siyo kakupigana nako Tanzania ikifunga mipaka yake,Warundi na FDLR wakapewa tafu ataomba pooooo mapema sana mnamkuza mno huyu fododido.
 
Sikiliza we mkundu wewe,sio Kila anayeleta hoja kutetea serikali yeye ni CCM.
Mie ni mwanasiasa na nina uanachama wa ACT wazalendo tawi la Chang'ombe,ila linapokuja suala la nation interests HUWEZI ukaleta uchama matako wewe.
Wewe una uhakika kama Tanzania haijafanya maboresho yeyote kijeshi?
Wewe una uhakika Tanzania haijajipanga kwa lolote!??
Anaepigana ni rais au wanajeshi??
Matako mkubwa wewe.
Mkuu hivi kwa mtusi huo unadhani mtaskilizana kweli?
 
Sio kweli hizo ni nadharia zako.
Kuna parade ilipigwa pale mpakani na Rwanda ya kufa mtu.
Mim binafs nlikuwa na washikaj ambao wa vizaz 4 vimezaliwa Tz ila bado kikwete aliwakamata na kuwarudisha Rwanda
 
Mkuu hivi kwa mtusi huo unadhani mtaskilizana kweli?
Kaka hakuna mtu ambaye mie simvumilii na sintomvumilia kama yule anayekuja na kejeli na matusi na kuwapa watu mlengwa wa kundi fulani.
Angekuja kistaarabu tukajadili tungejadili vizuri sana,ila wacha nimjibu kwa mtindo alioanza nao yeye mwenyewe na sina haja ya kuelewana naye.
 
Mkuu hizo nchi ulizotaja zinaonesha asilimia 20 ya nguvu zake sio zote.
Mathalan tuitaje tu hiyo Iran,vita yake dhidi ya Israel Kuna makombora mawili yalitumika hakuna aliyewahi dhania kama yapo.
Iran inatengeneza silaha zake, lakini huwa wanaonyesha missiles city zao chini ya ardhi...
Kwa nchi kama zetu ambazo hatuna viwanda vya silaha na asilimia kubwa tunategemea nje, kuna siri gani hapo?, ukinunua ndege za China utajulikana tu, ukinunua missiles watu wataona tu...

Yaani tupo uchi hakuna cha usiri, dunia ya sasa si kama zamani, mtu kupitia satellite tu za kiraia wanaona kila yanayoendelea kwenye kambi zako za kijeshi .. satellite kama za maxar hata mlala hoi anaingia analipia gharama kidogo anaona kila kinachoendelea nchini kwako...

Iran siku chache kabla ya shambulizi, satellite za maxar ziliona msururu wa magari yakihamisha uranium na centrifuges...

Ni hatari sana..
 
Mkuu kila nchi na ukanda fulani una sera zake.
Usitake kuamini kuwa Tanzania imekaa kizembe aisee kiasi haijafanya maboresho yeyote.
Usitake kuamini hivyo kaka.
 
Yeye anatoaga vitisho wenzake wapo kimya kimya hata hawamjibu.Kama anajiamini sana si avamie awashikishe adabu. Siyo kila siku anatoa vitisho kisa anawasumbua wakongo ambao nao wamegawanyika na hwana umoja.
Hii NI strategic mkuu wataalum wanaita security dilemma
 
Mkuu kila nchi na ukanda fulani una sera zake.
Usitake kuamini kuwa Tanzania imekaa kizembe aisee kiasi haijafanya maboresho yeyote.
Usitake kuamini hivyo kaka.
Dunia ya sasa mkuu, ukinunua silaha utajulikana tu... mimi ndipo nashangaa hizo silaha za siri ni zipi?
Ukinunua chinese air fighters kama J10C dunia itajua, ukinunua s300 dunia itajua tu... kiukweli hakuna siri dunia ya sasa.. wenye siri ni wanaotengeneza silaha zao wenyewe.....
 
Uko sahihi ila narudi pale pale mkuu tusichukulie poa tukasema serikali imebweteka tu.
 
Dunia ya sasa mkuu, ukinunua silaha utajulikana tu... mimi ndipo nashangaa hizo silaha za siri ni zipi?
Ukinunua chinese air fighters kama J10C dunia itajua, ukinunua s300 dunia itajua tu... kiukweli hakuna siri dunia ya sasa.. wenye siri ni wanaotengeneza silaha zao wenyewe.....
Hata wewe!!!
Kagame si ana watu wake wa mapigano pale Congo?
Hebu onesha kifaa cha kisasa anachotumia ambacho anacho yeye tu.
 
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Pumbav , Kagame is none of your concerns .You should be concerned about hawa vibaka wa CCM wakiongozwa na bibi chaudere wanaoteka ,kutesa ,kuua ,na kublackmail raia wa Tanzania na kudunisha hii nchi miaka zaidi ya sitini
Tena hayo mataahira yangepakwa mafuta makalioni na Kagame , useless bunch of fools , yanahubiri usalama ,usalama wa nani kama raia wa Tanzania wanaishi kama digidigi ndani ya nchi yao ? , yanashindwa kudeal na issue za Taifa letu wana deal na issues za Wakongo
 
Umoja Gani upo wewe Hilo la kwenu kama mmemchokoza kagame acha awashugulikie wananchi hatutaiunga mkono jwtz hata siku moja
Usipoiunga mkono Serikali yako wakati wa vita ni uhaini nawe unachakazwa bila kipelekwa mahakamani kujibu shutuma .
 
wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Mbona anachelewa, aje hata kesho kumchukwa huyu tulie naye haa.
Atakuwa ametufanyia msaada mzuri sana.
 
Back
Top Bottom