ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,135
- 2,940
Kagame atusaidie kuitoa ccm
wengi humu wanajazana ujinga tu.Serikal ya tanzania niya busara sana na siku zote mwenye uwezo huwa ajigambi wala kuongea sana ila wadhaifu ndio wanakuaga na mikwara mbuzi.Hiyo rwanda ukiwafungia kupitisha vitu vyao bandarini ni miezi michache tu wanaomba poo hapo bado dagaa,mboga mboga na vyakula vingine wanavyokuja kuangaika kununua uku.Tena ashukuru kupakana na tanzania isiyopenda vurugu zakijinga.Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Ndo wanachokiweza yaani aibu tupuWanahangaika na mambo madogo.
Kwa taarifa yako ni kwamba hapa afrika mashariki hakuna watu wanaolipenda taifa lao na wana uzalendo wa hali ya juu kama wanyarwanda, mnyarwanda tu akizaliwa na kukulia hapa tanzania anakuwa na mahaba kupitiliza kwa Rwanda, sembuse yule aliyezaliwa na kukulia kigali.Kwa hiyo we unafikiri Rwanda kuna umoja? Ngoja achokoze ndiyo atajua hajui
Wa kwanza ni mimi kufurahia hilo.Kuna watu watafurahia Tanzania kupigwa ili tupate serikali mpya itakayothamini kila mchango wa Kila mtanzania
Israel ya wapi nawewe?.Israel ni kupe aliyejishikisha kwa mmarekani.Na mmarekan anatumia nguvu kulinda kwasababu ya maslahi yake mashariki ya kati.Siku israel ikiacha kua mtoto pendwa wa amerika ndio itakua kiama chao.Unajua uwezo wake? Israel yenye watu 8mln imempiga Iran yenye watu zaidi ya million 100 kwa siku 12 mpaka rais wao hajaonekana mpaka leo akiogopa kuuliwa🤣🤣🤣🤣
Ipo siku tutaaibika sanaNdo wanachokiweza yaani aibu tupu
Tanzania kuna umoja?Yeye anatoaga vitisho wenzake wapo kimya hata hawamjibu.Kama anajiamini sana si avamie awashikishe adabu. Siyo kila siku anatoa vitisho kisa anawasumbua wakongo ambao nao wamegawanyika na hwana umoja.
Macron anataka iundwe kamati ikachunguze makombora ya iran 😃Mkuu hizo nchi ulizotaja zinaonesha asilimia 20 ya nguvu zake sio zote.
Mathalan tuitaje tu hiyo Iran,vita yake dhidi ya Israel Kuna makombora mawili yalitumika hakuna aliyewahi dhania kama yapo.
Jione ulivyo mjinga. Rwanda anapitisha mizigo mingi bandari ya Mombasa kuliko Bandari ya Dar.wengi humu wanajazana ujinga tu.Serikal ya tanzania niya busara sana na siku zote mwenye uwezo huwa ajigambi wala kuongea sana ila wadhaifu ndio wanakuaga na mikwara mbuzi.Hiyo rwanda ukiwafungia kupitisha vitu vyao bandarini ni miezi michache tu wanaomba poo hapo bado dagaa,mboga mboga na vyakula vingine wanavyokuja kuangaika kununua uku.Tena ashukuru kupakana na tanzania isiyopenda vurugu zakijinga.
Itakayopigwa ni CCM, siyo Tanzania.Kuna watu watafurahia Tanzania kupigwa ili tupate serikali mpya itakayothamini kila mchango wa Kila mtanzania
Ni hatari sana kuwa mjinga halafu hujijuiwengi humu wanajazana ujinga tu.Serikal ya tanzania niya busara sana na siku zote mwenye uwezo huwa ajigambi wala kuongea sana ila wadhaifu ndio wanakuaga na mikwara mbuzi.Hiyo rwanda ukiwafungia kupitisha vitu vyao bandarini ni miezi michache tu wanaomba poo hapo bado dagaa,mboga mboga na vyakula vingine wanavyokuja kuangaika kununua uku.Tena ashukuru kupakana na tanzania isiyopenda vurugu zakijinga.
Na ndo wanalolitegemea. Kuna nyumba ya mjomba wangu nitawaletea wakamfyeke pumbavu zake.Ngoja kagame awashugulikie ndio tuone huo uimara tena tutampa machimbo yote mliopo wajinga nyie Ili awamalize mnakula Mali za umma halafu mnataka uzalendo feki pambaneni na Hali zenu Hilo ni lenu peke yenu
Mkuu uganda anamiliki su-25,hizo ndege ni za hatari sana congo nao wana hizo su-25,while kenya wana f-15 ni balaa,sisi tuna ndege za kichina za miaka 40 iliyopita chengdu nini sijui 😃,ndio maana unaona hizi dharau zote,imefika muda na sisi tupate hata su-35 tuwaadabishe hawa viburiJf siku hizi ina watu weupe mno kichwani
Uganda Rwanda na Congo ziko mbali!!!
Uganda hii hii au kuna uganda nyingine?
Hao askari unaowazungumzia ndio hawa tunaogombea nao Punani AKA Mbususu hapa Sabasaba na kwa Azizi Ali?Ndugu yangu! Usilo lijua ni Sawa na usiku kiza! TPDF si dhaifa kama unavyodhani, lipo more advance,kuna mengi yamefanyika na yanaendelea kufanyika kimyakimya, kama bado unamtazamo wa jeshi lileee lililopigana vita ya Kagera! Basi unakosea Sanaa,kuna Idadi kubwa ya vijana wenye uwezo wamekuwa walipelekwa urusi kwa mafunzo ya muda mrefu,takriban miaka 6 kwa bechi ya kozi moja,TPDF inafanya kazi zake kwa usiri na umakini mkubwa Sanaa,Tofauti na watu wanavyoifikiria.
Kwani walimbilia kwenye mapango ni mayahudi au si mbaka wameikimbia nchi yao ya ahadi?Huyu hana tofauti na ayatollah maneno mengi akipelekewa motonkidogo mbio mapangoni.