Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,551
- 41,307
Jamaa ana mikwara hatari..
Wadanhanye wajinga wenzakoWewe umewahi kuiunga mkono Jwtz wapi?.Siasa zisikupofushe macho nchi Iko imara maradufu.
Uzuri kagame hua hatanii mwaka huu tunampa njia zote za kuwashugulikia yaani mumekalisha matako yenu makubwa na vitambi mkisubiri wananchi wawaunge mkono nyie wajinga kweli tuache kuiunga mkono Rwanda Ili iwatembezee kichapo tuwaunge mkono majizi safari hii mnalo hiloHuna lolote keyboard warrior huna unalojua.Kalale.
Bongo ilipeleka wajeda na wakaonjeshwa joto ya jiwe, uliza watu wa Eastern DRC siyo unapigwa fix na watu wasioishi huko. Tumebaki na porojo za mdomoni tu.Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Wadanhanye wajinga wenzaWewe umewahi kuiunga mkono Jwtz wapi?.Siasa zisikupofushe macho nchi Iko imara maradufu.
Afrika mashariki na kati HAKUNA nchi yenye uwezo wa kupigana na.Tanzania, hakunaKuna watu watafurahia Tanzania kupigwa ili tupate serikali mpya itakayothamini kila mchango wa Kila mtanzania
Hii miaka vita si kutumia yale mamiziga kwenye yale magari wanaita sabasaba ya miaka ya 70... vita ya leo si kupigana na ndege za hovyo kama cheng du J7G tulizonazo zimejaa kutu na kufuka moshi kama treni la diesel... ni muda sasa kubadilika kuendana na ulimwengu ulipo..Wewe umewahi kuiunga mkono Jwtz wapi?.Siasa zisikupofushe macho nchi Iko imara maradufu.
Drone ni hela zako tu, ukiingia hapo China na bilioni 100 unazichukua za kutosha. So Rwanda kuzimiliki sio kwamba Tanzania ni dhaifuIla tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mambomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Unaota kakojoe ulaleAfrika mashariki na kati HAKUNA nchi yenye uwezo wa kupigana na.Tanzania, hakuna
🤣🤣🤣🤣 Drone watatumia Hawa wa D moja au wengine🐸🐸🐸🐸Drone ni hela zako tu, ukiingia hapo China na bilioni 100 unazichukua za kutosha. So Rwanda kuzimiliki sio kwamba Tanzania ni dhaifu
Taja nchi unayodhani inaweza kuipiga nchi yetu TanzaniaUnaota kakojoe ulale
Mimi nilisha wambia humu Rwanda anaweza kuitandika Tanzania wengine wakasema mimi ni mtusi eti 😆 😂Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mambomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
useless citizenKuna watu watafurahia Tanzania kupigwa ili tupate serikali mpya itakayothamini kila mchango wa Kila mtanzania
Na wanapigana zaidi ya km 1000🤣Unajua uwezo wake? Israel yenye watu 8mln imempiga Iran yenye watu zaidi ya million 100 kwa siku 12 mpaka rais wao hajaonekana mpaka leo akiogopa kuuliwa🤣🤣🤣🤣
Kuna ule wimbo wa Leka tutigiteHuyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Nini kimelipata jeshi la SADC huko DRC mashariki walipokumbana na M23 yenye support ya Rwanda??Rwanda nchi ya kiboya sana, na haina uwezo wa kupambana na tz hata kwa dakika 5 tumewazid kila.idara katika medani vifaa vya kisasa
Idadi ya military personnel
Hakuna kitu hakuna kitu wanaweza fanya akitaka ajaribu aisiwe kama usa kuingea ongea