Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Kwani anaekwenda front ni mama au majeshi ?huyo tushazoe mikwara yake lkn hathubutu kuigusa TZ,anaujua mziki wake
Tatizo nadhani wewe unajua JW wanaowezo mkubwa sana kwa mbwembwe zao wanazoomesha. Vita ya leo ni Technolojia sio maneno na ujinga.
Kama serkali yetu imeshindwa kuwadhibiti Wanyarwanda mpaka wanashika vyeo vya juu kabisa tatizo ni letu
 
Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...

Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...

Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..

Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mambomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Kwaiyo na wewe unafikiri TPDF hawana hizo ndron na pia hatuna vijana walioiva kisawasawa Kwa hizo mambo, ngoja nikuambie ndugu yangu hizo droni tunazo na mitambo mingi ya kisasa na vijana tumewapa mafunzo mengi sana ya kuweza kuoparete hizo mitambo, that's why tulianzisha military science academy kitambo Sana...washagraduate kitambo Sana Intake kadhaa uko mbele, na wengine tumewapeka nje Kwa ajili ya kuongeza maujuzi na exposure za mbinu za medani ..kitu ambacho hukijui ni kwamba TPDF siyo Jeshi la naonyesho la mbinu na silaha zake za kimkakati mtaonyeshwa shoo za kawaida Sana lkn siyo zile zana za ukweli....
Kwaiyo mwache tu uyo Kagame aendelee kubweka kama mbwa mwenye hit ....ipo siku ataomba poo kama siyo msamaha.
 
Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo

Acheni uongo. SADC walikuwa wameanza kuivamia Rubavu, ndipo Rwanda wakaingia mzigoni. Kama hujui kitu kaa kimya. Tushukuru Rwanda waliwaonea huruma wakawateka nyara tu na sio kuwaua wanajeshi wote wa SADC.
 
Kwaiyo na wewe unafikiri TPDF hawana hizo ndron na pia hatuna vijana walioiva kisawasawa Kwa hizo mambo, ngoja nikuambie ndugu yangu hizo droni tunazo na mitambo mingi ya kisasa na vijana tumewapa mafunzo mengi sana ya kuweza kuoparete hizo mitambo, that's why tulianzisha military science academy kitambo Sana...washagraduate kitambo Sana Intake kadhaa uko mbele, na wengine tumewapeka nje Kwa ajili ya kuongeza maujuzi na exposure za mbinu za medani ..kitu ambacho hukijui ni kwamba TPDF siyo Jeshi la naonyesho la mbinu na silaha zake za kimkakati mtaonyeshwa shoo za kawaida Sana lkn siyo zile zana za ukweli....
Kwaiyo mwache tu uyo Kagame aendelee kubweka kama mbwa mwenye hit ....ipo siku ataomba poo kama siyo msamaha.

Kagame kawapiga mmekimbia DRC kwa aibu. Siku nyingine msirudie kuvamia nchi za watu.
 
Samahani mkuu 'LOTH HEMA', kwa maana haya maneno nayasema kwa maumivu moyoni makubwa.
Kiuhakika, sitaona tofauti endao Kagame akivuka maka na kuingia haa kwetu; kumtofautisha na Samia Suluhu Hassan na GENGE lake kuwa watawala wa nchi yetu. Sioni tofauti yoyote kati yao! katika maslahi ya nchi hii.
Unazeeka vibaya wewe mzee
 
Yeye anatoaga vitisho wenzake wapo kimya hata hawamjibu.Kama anajiamini sana si avamie awashikishe adabu. Siyo kila siku anatoa vitisho kisa anawasumbua wakongo ambao nao wamegawanyika na hwana umoja.

Vitisho?. Wakati juzi kawapiga mmekimbia wenyewe DRC. Si mlijidai kunguru apigwe ila mkapigwa nyie.
 
Rwanda nchi ya kiboya sana, na haina uwezo wa kupambana na tz hata kwa dakika 5 tumewazid kila.idara katika medani vifaa vya kisasa
Idadi ya military personnel

Hakuna kitu hakuna kitu wanaweza fanya akitaka ajaribu aisiwe kama usa kuingea ongea

Punguza dharau za kijinga. Mbona juzi mmepigwa na jeshi lenu kutekwa mpaka mkaenda kuomba msamaha ndio mkarusiwa kuondoka kwa aibu. Vita sio maneno, wenzako wamekimbia wewe unaropoka tu.
 
Acha ubishi , kwasasa serikali na raia ni mbingu na ardhi yaan raia hawawez hata shauri serikali yao hata wakitaka mfereji wa mtaa wanaogopa
😀😀Mkuu mtifuano ni mitandaoni tu.Lakini kitaa huku watu wakishashiba ugali na kisamvu fresh tu.Nchi hii ni ya wasakatonge ndio maana hata kuandamana hatuwezi,siku Moja tu njaa tayari tutayawezea wapi Mambo ya Kenya?
 
Mi naona SADC imefeli tu, hakua kujificha kwenye kulinda amani wala SADC haikuichokoza Rwanda...
Kilichopaswa kufanywa pale ni ubabe ubabe kuilinda DRC, hata US kuna muda anafaya ubabe ulio wazi kama juzi alipotuma B2 Iran japo hakufanikiwa ...

SADC ilipaswa kufanya ubabe na iwe onyo kwa M23 kuleta ghasia kusini mwa bara la Africa... tuseme tu SADC wamefeli..

Walizidiwa vita huo ndio ukweli. Maana majeshi ya Africa Kusini yalituma makombora Rwanda wilaya ya Rubavu ila wakadhibitiwa na ndipo hapo Rwanda wakaingia kwenye vita rasmi. SADC walikuwa na Nia ya kumpindua Kagame wakafeli.
 
Wewe umewahi kuiunga mkono Jwtz wapi?.Siasa zisikupofushe macho nchi Iko imara maradufu.

Imara wapi? Acheni unafiki. Mtu anashushwa kwenye basi mchana na kuuawa na hakuna kitu kinafanyika. Acheni kuongea uongo. I support Rwanda
 
Kwa hiyo unafikiri Tz ni kubwa jinga? Iko wazi naona kisura Cha mke wa Museveni kama ni Dada wa Kagame.Tuko vizuri Mkuu.

Bora Kagame awanyooshe mafisadi nyie wa CCM. Mnateka watu na kuwaua, halafu mnadai tupo imara.
 
😀😀Mkuu mtifuano ni mitandaoni tu.Lakini kitaa huku watu wakishashiba ugali na kisamvu fresh tu.Nchi hii ni ya wasakatonge ndio maana hata kuandamana hatuwezi,siku Moja tu njaa tayari tutayawezea wapi Mambo ya Kenya?
Unamanisha amani iliyopo ni sababu ya njaa Kali na umaskini au?
 
KIJITI KAGAME amalize kwanza dozi yake ya mifupa asitafute sababu ya kusema Tanzania tumemuua.

Mtu mwenyewe anatembea huku shati linapepesuka, miguu inagongana kama mbao, ataweza wapi vita huyu KIJITI!

Ati ndio Amiri Jeshi!! Urongooo! Anawadanganya warwanda!

Ila juzi mmekimbia vita kwa kusachiwa mbele ya camera. I support Rwanda
 
Back
Top Bottom