Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe na hasa yule Borrison wa uingereza
d5f3ce59-9119-46a5-9741-ddd925a315e3.jpg
 
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe na hasa yule Borrison wa uingerezaView attachment 2277981
Kama hata mambo ya kijinga anajibu ni vema aukatae uzee.Uzee kmnioko!
 
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe na hasa yule Borrison wa uingerezaView attachment 2277981
Picha ya zamani sana, kipindi icho Putin mlevi mlevi mlevi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom