Pongezi kwenu Single Mothers
Maisha hayana fomula.... Wanangu hata watende ubaya gani lakini sitoacha kuwabariki.

Nitawabariki katika hali zote maana nikiwalaani hamna faida yoyote nitakayopata

Watibeli ni watu wa principles.
Kubariki tafsiri yake ni kuridhia. Kukubali, kuruhusu.

Yapo mambo watoto wangu wakiyafanya sitabariki. Hivyo watafanya kwa mabavu kwa maamuzi yao wenyewe

Siwezi ruhusu jambo lenye matokeo mabaya ya sasa au yabaadaye kwa watoto wangu.
 
Nawashukuru sana Moderator kwa kuunganisha hizi nyuzi za single mothers, nitakua nawatag kila uzi unaoibuka mnautupia humu, wateme nyongo zao humu, walie humu, wagare gare humu, wabembelezane humu, ila sio kutujazia servers kwa mada za aina moja kila siku.
 
We dont celebrate single mothers enough because their strength and tenacity intimidate us and we are left wondering how can a woman possess so much strength? And when she decides to get herself out there and meet new man we tell her she is too old, used to get a man! She is damaged goods. That she has too much buggage and she should be happy alone.Some even say she doesnt deserve dowry! We give her side eye as if single mothers do not deserve love.

Wanasema she should be happy alone? Hakuna, they don't even want them to be happy. Wanatamani kuwaona single mothers wapo miserable , wakiona single mother anashine, maisha yake yanashine wanaumia sana kwa sababu low-key wanatamani wawe na mwanamke kama huyo ila ego zao haziwaruhusu. Wanataka wamkute yupo desperate ili wamtumie watakavyo bila kuwajibika. Ndio maana wakikuta single mother yupo na standards wanakakasirika...like how dare you have standards wakati sisi tulitegemea uanguke chini utusujudie 🤣🤣 ndio maana hata humu wanaume wa aina hiyo kutwa kuanzisha nyuzi za single mothers. Sina tatizo na mtu anayeamua kutojihusisha nao kwa sababu maisha ni yake na ana uhuru wa kuchagua maisha yatakayompa amani ila hata kama nilikuwa namheshimu mtu siku nikiona anashambulia sm namdharau
 
Back
Top Bottom