DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
13,020
Reaction score
36,619
Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"

Do you think that's coincidence? no, it's a manipulative plan. Mpango ni kuwachonganisha boyfriend mpya na baba mzazi. Boyfriend wa sasa akishamuona baba mzazi ni adui na hatimizi wajibu wake atajaribu kustep up kuziba hiyo nafasi

Sasa hapa kuna masimp huwa wanakamatwa mpaka kufikia hatua ya kujiona wao ndio wanastahili haki ya baba wa mtoto.

Wakati huo single mother yeye anakaa pembeni kuangalia hiyo vita yenu. Maana yoyote atakaeibuka mshindi ni ushindi wake pia. Nyie fanyeni vita vyenu upande utakaoibuka mshindi ndie upande ambao singo mither atauchagua. She is not loyal to your efforts, commitment and sacrifices. Her loyalty crave toward survival and interests of herself and her kid

Embu niambie katika kutaka kuchukua haki ya baba mzazi ukajitolea kumlipia ada mtoto. Baba mzazi akaja akataka kumpeleka mtoto wake kwenye shule ya gharama zaidi. Unafikiri single mother ataheshimu sacrifices zako wewe ambae upo kila siku na kuikataa ile ofa ya baba mtoto? Jibu ni hapana, atachagua mtoto wake asome shule ya gharama zaidi.

Single mother ni kiwanja chenye mgogoro kamwe usijiingize kwenye huo ugomvi wala kutaka kujenga kwenye hicho kiwanja.

Her babydaddy is not a villain, he is just an innocent man who discovered her dark side you're yet to discover.

Don’t be a simp
 
Hao wanaume innocent waliokosea watu wa kuwazalisha, wanakosewa wao tu? kuweni na akili basi!
Suala la kushika au kutoshika mimba muamuzi mkuu ni mwanamke, na hakuna mwanaume anaweza kukuoa rasmi au mkakubaliana kuzaa halafu akakukimbia.

Single mother wengi tulionao mtaani wanaangukia kwenye categories za uzembe, tamaa, kudanga na kufikiri kumzalia mtoto mwanaume ni njia ya kujiakikoshia kuolewa
 
Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"

Do you think that's coincidence? no, it's a manipulative plan. Mpango ni kuwachonganisha boyfriend mpya na baba mzazi. Boyfriend wa sasa akishamuona baba mzazi ni adui na hatimizi wajibu wake atajaribu kustep up kuziba hiyo nafasi

Sasa hapa kuna masimp huwa wanakamatwa mpaka kufikia hatua ya kujiona wao ndio wanastahili haki ya baba wa mtoto.

Wakati huo single mother yeye anakaa pembeni kuangalia hiyo vita yenu. Maana yoyote atakaeibuka mshindi ni ushindi wake pia. Nyie fanyeni vita vyenu upande utakaoibuka mshindi ndie upande ambao singo mither atauchagua. She is not loyal to your efforts, commitment and sacrifices. Her loyalty crave toward survival and interests of herself and her kid

Embu niambie katika kutaka kuchukua haki ya baba mzazi ukajitolea kumlipia ada mtoto. Baba mzazi akaja akataka kumpeleka mtoto wake kwenye shule ya gharama zaidi. Unafikiri single mother ataheshimu sacrifices zako wewe ambae upo kila siku na kuikataa ile ofa ya baba mtoto? Jibu ni hapana, atachagua mtoto wake asome shule ya gharama zaidi.

Single mother ni kiwanja chenye mgogoro kamwe usijiingize kwenye huo ugomvi wala kutaka kujenga kwenye hicho kiwanja.

Her babydaddy is not a villain, he is just an innocent man who discovered her dark side you're yet to discover.

Don’t be a simp
Don't be simp and avoid to impress women
 
Mm nikishajua ww n singo maza hata salamu skup
Ouch 😣

1780144394600.gif
 
Single mother ni kiwanja chenye mgogoro kamwe usijiingize kwenye huo ugomvi wala kutaka kujenga kwenye hicho kiwanja.
Ki - Msingi, Mwanaume apaswa kuanzisha familia yake na sio kujiunga kwenye Familia nyingine.

Regardless of the circumstance, Mwanaume ni njema ukianzisha familia yako mwenyewe, Wanawake ambao hawana watoto wapo wengi na wana Sifa tele za kuanzisha nao Familia.

Wapo wanawake single Mother wana tabia nzuri na wanafaa kuolewa, ila bado ni BUSARA mtoto wa kiume kuanzisha familia yako mwenyewe. Unaweza jipa excuses lakini bado kuanzisha familia yako kubakie palepale.
 
Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"

Do you think that's coincidence? no, it's a manipulative plan. Mpango ni kuwachonganisha boyfriend mpya na baba mzazi. Boyfriend wa sasa akishamuona baba mzazi ni adui na hatimizi wajibu wake atajaribu kustep up kuziba hiyo nafasi

Sasa hapa kuna masimp huwa wanakamatwa mpaka kufikia hatua ya kujiona wao ndio wanastahili haki ya baba wa mtoto.

Wakati huo single mother yeye anakaa pembeni kuangalia hiyo vita yenu. Maana yoyote atakaeibuka mshindi ni ushindi wake pia. Nyie fanyeni vita vyenu upande utakaoibuka mshindi ndie upande ambao singo mither atauchagua. She is not loyal to your efforts, commitment and sacrifices. Her loyalty crave toward survival and interests of herself and her kid

Embu niambie katika kutaka kuchukua haki ya baba mzazi ukajitolea kumlipia ada mtoto. Baba mzazi akaja akataka kumpeleka mtoto wake kwenye shule ya gharama zaidi. Unafikiri single mother ataheshimu sacrifices zako wewe ambae upo kila siku na kuikataa ile ofa ya baba mtoto? Jibu ni hapana, atachagua mtoto wake asome shule ya gharama zaidi.

Single mother ni kiwanja chenye mgogoro kamwe usijiingize kwenye huo ugomvi wala kutaka kujenga kwenye hicho kiwanja.

Her babydaddy is not a villain, he is just an innocent man who discovered her dark side you're yet to discover.

Don’t be a simp
Jamani Single Mother wameshanyoosha mikono 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom