Pongezi kwenu Single Mothers
Kuna singo maza mmoja nilikuwa nammendea miaka ya zamani kidogo, niliona kama ana akili akili. Kwenye stori anampiga vita sana huyo bwana na kudai hawana mawasiliano. Nikaamua kufanya research.

Siku moja nikaenda kwake bila taarifa. Kuingia ndani nakuta ameweka picha ya bwana ake ukutani(alisahau kuitoa). Inaonekana huwa anaweka na kutoa nikiwa naenda pale. Nikasema asante Yesu umelianika hilo fala mapema, acha nilichezee tu

Naunga mkono hoja
Kwahiyo ukienda kwake, mtoto wake anakudandia "baba baba" na wewe unajitutumua unatoa hela ya shule
 
Sio kweli, single mothers ndie anaorun akili zenu si mnaona kutwa kucha kuwafungulia uzi!!? yan kiufupi mnawashobokea na wao hawaachi kuwapiga matukio mnakuja kulia lia humu.
Kuna wanaume wamefanya makosa kuwa na single mother so hawataki wengn wapite njia hiyo ya maumivu, sasa ndo hizi mada
 
Basi kama hupigi mashuti usikatae tunaposema sio single maza wote ni wabaya.
Sikatai wapo wazuri, sana tu. Ila ni wa kutafuta kwa tochi, singo maza wengi vimeo. Sijawahi kuona singo maza ila nawajua vizuri sana, kwa sababu mimi ni mtu wa kufanya due deligence kabla ya kuhusiana na mtu
 
Back
Top Bottom