ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,635
Hivi karibuni kuachana kumeonekana kama fashion mpya. Kwa mwezi huu pekee tumesikia watu maarufu karibia mahusiano au ndoa 5 wameachana, na hata huku mtaani mahusiano yanavunjika kama vile kuna mashindano mimi tu mwenyewe rafiki zangu watatu washaachana na wapenzi wao. Zamani kulikuwa na wazee wa kusuluhisha, siku hizi mtu akichoka dakika mbili tu anasema "kila la heri" na maisha yanaendelea.
Sasa najiuliza, je, wahanga wakubwa siyo single mothers ambao walishapata mtu wa kuwavumilia na kusaidia kulea watoto? Maana kwa sasa kuna kampeni nyingi zinazowafanya baadhi ya wanaume waone kuoa single mother kama mistake kubwa. hivyo kwa single mother Ukijikuta umepata jamaa wa kukubali , heri ujifanye lofa kabisa kuliko kuanza vitisho na jeuri za bure. Maana siku hizi kuvunja mahusiano ni rahisi kuliko kuyarekebisha