Pongezi kwenu Single Mothers
Singo Maza anabembeleza na anakupa penzi kwa unyeyekevu na unasikia utamu.

Hivi vibinti vya Jen Z ambavyo havijaaa vina kiburi sana.

Vinakisirani kwenye mapenzi, havichelewi kununa mda wowote na havijui kunyenyekea.

Kwa kuwa huo ni mtazamo wako binafsi; Ungebaki nao tu
SIO KILA KITU KINAJADILIWA HADHARANI!
 
Singo Maza anabembeleza na anakupa penzi kwa unyeyekevu na unasikia utamu.

Hivi vibinti vya Jen Z ambavyo havijaaa vina kiburi sana.

Vinakisirani kwenye mapenzi, havichelewi kununa mda wowote na havijui kunyenyekea.
zaidi ukute ni mjane.......usafi ,,,,,,,halafu mnato,,,,,,, temperature tanuuuuuuuu
 
Ni vilio au sifa vikiambatana na jina ndo utajua single mother yupo au alipita hapa.

Kuna wa makatazo, kuna wa mahubiri, Kuna wa kutoa sifa. Single mother waundiwe wizara.
 
KAMA BABA MWENYE WATOTO. KIUKWELI SITABARIKI KIJANA WANGU AKINILETEA BINTI SINGLE MOTHER.

Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Baba.

Miaka yote nawafundisha Moyo usishinde Akili. Bali Akili ndio ishinde Moyo.

Akili ikishinda Moyo utakuwa na upendo lakini sio upendo wa kijinga. Utakuwa na upendo wenye Akili, wenye tija. Wenye kulinda na kujali maslahi yako kwanza. Hili ndilo miaka na miaka naliimba

Mtoto wangu, Mtibeli halisi, lazima arithi akili na baadhi ya miiko ya Baba na Babu zake. Sisi Watibeli.

Kwamba Mjukuu wangu wa kwanza awe mtoto wa pili au watatu kwa mwanamke? Hapana kwa kweli.

Mjukuu wangu wa kwanza sharti atoke kwa mwanamke ambaye hakuwahi kuzaa. Yaani kifungua mimba cha Mama yake. Huyo ndiye Mjukuu wa kwanza mwenye heshima zote za utibeli.

Utibeli ni namba moja. Utibeli ni juu wala sio chini. Utibeli ni mwanzo wala sio mwisho. Utibeli ni Mbele wala sio nyuma.

Haiwezekani mjukuu wangu wa kwanza awe wapili kwenye tumbo la mwanamke. Hilo kwetu Watibeli ni tusi. Ni dharau. Hata kama huyo mjukuu angekuja kuwa na sifa gani huko baadaye. Awe na cheo gani, awe na pesa gani awe na muonekano gani. Yeye atakuwa aliyetanguliwa tuu.

Sisi Wanaume wa Tibeli tuna ruhusa ya kuoa Wake wengi kadiri tuwezavyo. Lakini mke wa kwanza kidogo anamasharti yake kidogo. Tunamaana zetu. Sio lazima ziwe na maana kwa watu wengine.

Kwetu Watibeli, Mtoto atakayeachiwa Ukoo ni yule mtoto wa kwanza. Tena mtoto wa kwanza kwa Mama yaani kifungua mimba. Bila kujali ni wa ndoa au sio wa ndoa.

Lazima awe wakiume. Lakini mtoto wa kwanza kwa Mama atakayemzaa. Sio mtoto wa kwanza kwa Mwanaume.

Mtoto wa kike wa Kitibeli anaweza kupewa ukoo na kuongoza ukoo ikiwa atakuwa wakwanza kwa Mama yake. Lakini ataamua kutumia majina ya ukoo wa Baba yake(watibeli) na sio majina ya mumewe. Hii ni kumaanisha hata watoto wa huyo mtoto wakike watatumia majina ya watibeli kama Mama yao.

Mtoto wa kiume wakwanza akijidharau, akajishushia heshima kwa matendo yake au maneno yake. Nafasi hiyo atanyang'anywa na wadogo zake. Mdogo anayemfuatia.
Lakini mdogo huyo sharti naye atoke kwenye tumbo ambalo Baba yake hakutanguliwa. Yaani kwa Mama ambaye hakuwa single mother.

Kwa sababu aliamua kujiweka nyuma, kutanguliwa basi mdogo wake atamtangulia na kumuongoza.
Hatakuwa na mamlaka na kauli ya maamuzi kwenye familia na ukoo . Yaani kauli yake itatanguliwa na kauli za wadogo zake.

Saikolojia ya binadamu. Mtoto wa pili kisaikolojia hawezi kuwa wakwanza kama Baba ni wawili tofauti.
Ila mtoto wa pili au watatu anaweza kuwa wakwanza kisaikolojia ikiwa mtoto wakwanza wa tumbo moja ataboronga,

Kakaako wa Baba kwa Baba meingine atakuwa kakaako tuu bila kujali anaboronga au haborongi. Kama alimtangulia Babaako wewe ni nani usitanguliwe?

Hii ni tofauti na Kaka wa tumbo Baba mmoja na Mama mmoja au Baba mmoja Mama mbalimbali.

Kimsingi, ikitokea kijana wangu akaleta single mother kama Mkewe wa kwanza, ni hakika sitabariki hicho kitu. Na hilo lilo bayana, sio siri, linafahamika na wasio fahamu sasa wajue. Kwani ndivyo Watibeli tulivyo.

Nafahamu watoto wana hiyari ya kuchagua watakayo nje ya mafundisho wanayopewa na wazazi wao. Hata hivyo uhuru wao wakuchagua niliwafundisha kuwajibika na matokeo. Watakuwa wapili, waliotanguliwa siku zote.

Na hii ni wito sio kwa vijana wangu wakiume tuu. Bali hata mabinti zangu, binti za Tibeli.
Hakikisheni mnafanya juu chini. Fuateni yale yote niliyowausia Baba yenu. Msipande mazao mawili tofauti kwenye Shamba moja. Labda itokee mkulima amekufa.

Na hii itamaanisha muwe makini kuchagua Waume zenu. Msiwe na haraka. Mkiasi mtajua wenyewe.

Nawatakia jumapili njema.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Dah noma sanaaaaaaa, ila mtibeli mi napenda mishangazi kama ephen yani nikiuvutia hisia tu moyo wangu chaliiii, nimekuja nimeoza , je kwenye ukoo wako ninge kua mwanao wa kwanza unge ni timua?

Nisingekutimua ila ungewaachia ndugu zako nafasi za maamuzi.

Mishangazi uioe?
Yaani uoe mwanamke amekuzidi miaka ya kutosha?😄😄😀
 
eshima zikufikie popote ulipo bwana mtibeli umesomeka vema kabisa lakini mimi nitakua kwa ajiri ya kuwapatia tu faraja sigle mother wote kwaiyo ni vema tu wakaja kwangu
 
eshima zikufikie popote ulipo bwana mtibeli umesomeka vema kabisa lakini mimi nitakua kwa ajiri ya kuwapatia tu faraja sigle mother wote kwaiyo ni vema tu wakaja kwangu

Heshima nimepokea Mkuu.

Kuwa single mother hakuhitaji faraja. Ni suala la maamuzi ya mtu.
Unampaje mtu faraja kwa maamuzi aliyoyachagua? Ndio maisha aliyoyataka.

Achana na wajane hao hawahusiani kabisa na usingle mother
 
Maisha hayana fomula.... Wanangu hata watende ubaya gani lakini sitoacha kuwabariki.

Nitawabariki katika hali zote maana nikiwalaani hamna faida yoyote nitakayopata
 
Back
Top Bottom