ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,165
- 40,527
- Thread starter
-
- #101
Hakuna shida hapa naweka nyuzi zangu baasiHapa utajaziwa nzi tu, download Telegram hifadhi vitu vyako huko
Unafanyaje kuweza kutag uzi kama hivi?Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa
Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi?
Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana?
Au tuseme ndoto huwa ni dunia au ulimwengu mwingine?
Kwa sababu unapoota ndoto huwa ni kama upo kwenye ulimwengu au dunia nyingine. Maana unakuwa umelala, lakini ni kama bado kuna mambo yanaendelea kwenye akili yako
Wengine husema ndoto huwa ni matokeo ya mawazo, msongo wa mawazo uliozidi, maongezi au vitendo vya muda fulani...
- ShesRise_1
- kazi mambo ndoto roho ubongo ulimwengu ulimwengu wa roho
- Replies: 284
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Mfano huu uzi hapa tunao chat now scroll kwenda juu upande wa kulia utaona kuna kidude cha kwanza kina viduara vitatu click hapo utaona link ya uzi copy hiyo linkUnafanyaje kuweza kutag uzi kama hivi?
Asante nimeweza mkuu na mimi nimeipenda hii idea nitaanzisha collection yangu.Mfano huu uzi hapa tunao chat now scroll kwenda juu upande wa kulia utaona kuna kidude cha kwanza kina viduara vitatu click hapo utaona link ya uzi copy hiyo link
Sawa hakuna tabu mimi nimefanya hivi nataka kuweka nyuzi zangu zote sehem mojaAsante nimeweza mkuu na mimi nimeipenda hii idea nitaanzisha collection yangu.