Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
17,754
Reaction score
42,238
Angalizo kwa watakatifu sitaki mnifokee maana nina nyuzi kibao za maisha na za mijadala ya kijami siwaoni ila hapa mtaanza ooh unapenda ngono

Kwenye jukwaa la chit chat kuna uzi unaitwa JF diary nimeweka nyuzi zangu nyingiiii kama unavutiwa kusoma maandiko yangu ila hili hakikubariki tafadhari tembelea huo uzi na uchague uzi mmoja utakaokuvutia usome kila la kheri🙏🙏

Twende nalooo sasa 👇

Ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au ukiona kwa mpenzi wako ukiwa kwa bed vinakukata stim

Au ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au kuona kwa bebe wako mizuka inapandaa midadii inakua on yaan 🔥

Watu wengi huona au kufanyiwa vitu vinavyowakera na wanashindwa kusema kuogopa bebe atachukia au atajisikia vibaya

Maana mwingine akiambia badala achukulie positive ana panic na kususa juu

Na wewe ukiangalia upo in love unajikaza kisabuni huku unaungua moyoni huna raha wala fur aha

Ni nini kinakukata stim pale mjini 6*6

Nini kinakupa mizuka pale mjini 6*6

Una ujasiri wa kumwambia mpenzi wako
Kama kuna kitu hakikufurahishi?

Au ni kama samaki na maji mdomoni😜

NB: #Kulombana sio anasa
Lombana kwa faida kede kede zipatikanazo ndani ya tendo hilo

ShesRise_1 🤚
 
Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla. Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata kama umetia sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zangu
 
Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla. Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata umeita sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zangu
Sawa na mpira bila mashabiki? Yaani uwanja umefungiwa mashabiki hawaruhusiwi kuingia😅
 
Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla.
Sasa kama hasikii raha agune nini sasa na wewe 🤣🤣🤣
Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata umeita sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zangu
Cheza na jukwaa mashabiki washangilie 🤣🤣🤣
 
mapenzi ni uchafu lakini yule alikua ananilamba mpka pua alf anataka kunikiss aaah manina nilitapika mno😄😄😄,,

kiufupi sipendwi kulambwa lambwa kama ki paka kichanga esp maskio, sijui pua, mara jicho vidole vya mikono na miguu hapan kwa kweli huwa inanikata
 
Sasa kama hasikii raha agune nini sasa na wewe 🤣🤣🤣
Mwanzo wa mechi huwa mgumu yeye aendeleee tu kushangilia ukuni ukikolea mbona hatajutia..

Cheza na jukwaa mashabiki washangilie 🤣🤣
Jukwaa lisilo na mashabiki halina moral ya kuchezewaa, yaani ni lazima shabiki apige yowe kwanza hata la kuzuga
 
mapenzi ni uchafu lakini yule alikua ananilamba mpka pua alf anataka kunikiss aaah manina nilitapika mno😄😄😄,
nipe no yake nimuulize kama kweli🤣🤣🤣
,

kiufupi sipendwi kulambwa lambwa kama ki paka kichanga esp maskio, sijui pua, mara jicho vidole vya mikono na miguu hapan kwa kweli huwa inanikata
Bintii muongoo huyuuu shenziiii
 
Back
Top Bottom