ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,154
- 51,005
- Thread starter
- #201
Familia
Hivi nini hupelekea watu waliokaa kwenye ndoa miaka 20+ au 30+ kuachana?
Huwa ni tabia za zamani ambazo mmoja wao alikuwa akijipa moyo na muda na kuvumilia akidhani tabia itarekebika?
Nina mfano hai wa mama wa familia fulani
Mume amempa talaka mke wake ambaye wameishi pamoja kwa zaidi ya miaka 30
Huyo mzee alikuwa akipelekewa kesi za ndoa za wanafamilia, na alikuwa anakemea sana suala la kuachana
Kuna binti yake aliomba talaka kwa mume wake, huyo mzee akawa mkali kama pilipili
Hakutaka kusikia habari za binti yake kuomba talaka
Binti akalazimishwa kuvumilia, mzee hakutaka...

- ShesRise_1
- makosa mapya miaka miaka 30 mwisho ndoa talaka uvumilivu
- Replies: 215
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki