Subuhanallah kiukweli Allah atunusur na hichi kizazi cha sasa hiv maana nihatar sana nililetewa kesi ya mwanamke amekuja kumshitaki mume wake kuwa hamridhishi (hamkojozi) ikabidi niwaite wote wawili ili niwasikilize nilicho gundua mwanamke anataka aingiliwe kinyume na maumbile ila mwanaume hataki hapo ndipo shida ilipo anzia
 
Duhh hiyo kauli sana
 
Je na wale wanao fanya hayo mambo na wao hutegemea nini? Mbona wengine huwatumia hata wake zao?
 
Unampaje Onyo mtu mzima mwenye akili zake kwakitu ambacho hata akifanya au asipofanya hutajuwa?

Fanya mambo yako muda hautoshi kujadili vitu visivyo na faida na wewe.
 
Kama aliliwa jicho na namuelewa haina noma ndoa inasonga tu,, sidhani kama kuachana nae ndio itakuwa imekufariji..

Jicho kaliwa na ameshaacha michezo iyo mbona hakuna noma maisha yanaendelea

Ukishiba huwezi kua kama mwenye njaa!
 
Unampaje Onyo mtu mzima mwenye akili zake kwakitu ambacho hata akifanya au asipofanya hutajuwa?

Fanya mambo yako muda hautoshi kujadili vitu visivyo na faida na wewe.

Nikuulize kwan mchungaji au shekh anaposihi watu katika swala la uzinzi ww ukifanya au ukifanywa atajua vipi,acha kuongea km unakunya man kaa kwa kutulia hujalazimishwa kuchangia au unawashwa,siku nyingn usichangie mada km unakunya
 
Kwahiyo wewe ni sheikh , mchungaji au motivational speaker?
 
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako

Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao hilo hawalijui

Hakuna kitu kitamuumiza mwanaume kama atambue huyu demu/mwanamke wake/mke alishawahi kutoa kwa mpalange

Na kuna baadhi ya wanawake wengine wanapata ujasiri kabisa ukiwa nao faragha wanakuuliza maswali ya kimtego ili wajue ni mpenzi wa hayo mambo ili wakuachie tundu.

Wanawake wengi wao wanachomoa(wamechomoa)mimba sana hii pia nayo ni changamoto sana kwa hiki kizazi cha sasa

Haya ni mambo ambayo huwa yanaumiza sana sana kwa sisi wanaume endapo yakitokea kujua(background) huwa INAUMA na KUVUNJA MOYO

Utafiti wangu katika wanawake 10 bhas wanawake 4 katika 10 wameshashiriki mapenzi na kinyume na maumbile hii ni mbaya sana kidini na kiafya

KATIKA JAMBO LA KUHITAJI MWANAMKE WA MAISHA INAKUPASA UMLIMLIE MOLA WAKO SANA KAMA MUISLAM SWALI SANA HUKU UKIOMBA HILO NA KAMA MKRISTO BHAS NENDA KANISANI

ONYO KWA WADADA: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo hapo unajidanganya hakuna mwanaume mwenye akili hizo kama yupo bhas jua huyo ni TAHIRA MWENZIO
Dah kwa hiyo mie tahira...aya bana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom