Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,330
- 2,283
NMB ni bank ya kijinga sana,wana matangazo meeengi ya kuvutia, mazuri lakini huduma zao za kipumbav. Nilipoteza kadi nikaenda kireport na maelezo juu. Nikaambie nisubiri ntapigiwa simu kwenda kuchukua. Mpaka leo kimya niliamua kusamee mana bank zipo nyingi. Nimeenda Equity kadi nikapata muda huo huo na ndio nayo tumia kwa sasa.Mimi mwenyewe nimeshawauliza kuhusu suala la uthibitisho wa mkopo wangu kuisha tangu August mwaka jana lakini wananiyumbisha tu.
Wananiambia niende makao makuu ya benki yao wakati sikukopa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefungua thread hapa wamekimbia,sa sijui ni akili gani,au wanajua watu wote tuko fb na huko insta.
Sent using Jamii Forums mobile app