NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri


NMB Tanzania

NMB Tanzania

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
92
Likes
137
Points
40
NMB Tanzania

NMB Tanzania

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
92 137 40
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
 
womanhood

womanhood

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
592
Likes
810
Points
180
womanhood

womanhood

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
592 810 180
HIVI NYIE NMB MKOJE? JAMANI MI NATAKA KU CLEAR DENI LANGU LOTE LA MKOPO LILILOBAKI, ILA SASA NI WK YA PILI TANGU NIWAOMBE HIYO BARUA YA DENI LILILOBAKI, HV TATIZO NI NN?
UKIULIZA UNAAMBIWA MAKAO MAKUU BADO HAWAJATUMA TAARIFA, MNAKWAZA SANA, YANI SITORUDIA TENA KUKOPA KWENYE BANK YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwasipenjele

mwasipenjele

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
664
Likes
305
Points
80
mwasipenjele

mwasipenjele

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2012
664 305 80
HIVI NYIE NMB MKOJE? JAMANI MI NATAKA KU CLEAR DENI LANGU LOTE LA MKOPO LILILOBAKI, ILA SASA NI WK YA PILI TANGU NIWAOMBE HIYO BARUA YA DENI LILILOBAKI, HV TATIZO NI NN?
UKIULIZA UNAAMBIWA MAKAO MAKUU BADO HAWAJATUMA TAARIFA, MNAKWAZA SANA, YANI SITORUDIA TENA KUKOPA KWENYE BANK YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo kitu hawatakagi kusikiaNMB watakuzungusha sana cjui kwa nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,018
Likes
1,450
Points
280
Age
50
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,018 1,450 280
NMB Ni bank nambari one kwa huduma nambari one za kifedha, INA wafanyakazi weledi na NMB ni wafumbuzi wa matatizo.

Nina mfano hai jinsi NMB walivyo innovative

Pongezi za kipekee kwa NMB Sanya Juu na nchi nzima.
 

Forum statistics

Threads 1,250,112
Members 481,224
Posts 29,721,096