Mimi mwenyewe nimeshawauliza kuhusu suala la uthibitisho wa mkopo wangu kuisha tangu August mwaka jana lakini wananiyumbisha tu.

Wananiambia niende makao makuu ya benki yao wakati sikukopa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
NMB ni bank ya kijinga sana,wana matangazo meeengi ya kuvutia, mazuri lakini huduma zao za kipumbav. Nilipoteza kadi nikaenda kireport na maelezo juu. Nikaambie nisubiri ntapigiwa simu kwenda kuchukua. Mpaka leo kimya niliamua kusamee mana bank zipo nyingi. Nimeenda Equity kadi nikapata muda huo huo na ndio nayo tumia kwa sasa.

Wamefungua thread hapa wamekimbia,sa sijui ni akili gani,au wanajua watu wote tuko fb na huko insta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NMB Please tupeni Mikopo Watumishi wa Umma tuliobakisha miaka Michache ya kustaafu.

Nina miaka minne nistaafu nimeenda kuomba kukopa nimekataliwa eti hamruhusu aliyebakisha miaka 1-4 ya kustaafu. Siyo poa hata kidogo kwa sababu sera hii inabagua wakopaji ikizingatiwa kuwa mshahara wangu na mafao ya Kikotoo itapitia kwenu.

Au mnadhani waliobakisha muda mfupi wa Utumishi wanakaribia kufa? Benki nyingine wanatoa bila sharti hili na mambo yanakwenda sawa.

Kustaafu siyo ''Death Sentence'' wala ''Poverty Sentence''. Tupeni mikopo tuendeleze kujiandaa kwetu kustaafu.
 
Kuna dada alikuwa Clock Tower nmb Arusha miaka kadhaa iliyopita kitengo cha mikopo ni kikwazo kwa maendeleo ya bank na kwa afya ya mkopaji, yani usipo mpatia rushwa mkopo hautoki, utazungushwa kama daktari asiyeona ugonjwa.

Huyu dada alikuwa sababu kubwa ya kachana na mikopo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*kwanza kabisa habari yenu wakuu
Aseee nimekereka sana na hawa NMB baada ya kuanza kufuatilia ATM card yangu iliyopotea toka january 7 nikapeleka taarifa kwenye tawivlao moja hapa DODOMA.

Walinambia njoo baada ya wiki mbili week mbili zilipobisha nikaenda naaambiwa maombi hayajatumwa wakanambia njoo baada ya week mbili.baada ya hapo tukawa tumefunga chuo nikawa nimeondoka nimerud hivi mwezi wa tatu tarehe kumi na nane wananiambia kuwa card ilitengenezwa ikatumwa SENGEREMA ambako nilifungulia account yangu nikawauliza mbona niliombea hapa hiyo card wakanambia njoo baada ya siku tatu itakua ishafika hapa(hapo sikua mwenyew nilikutana na jamaa mwingine nae alikua na miezi minne anafuatilia anakuja kuambiwa card yake ipo KIGAMBONI ) sasa jana nimerud ikiwa ni takribani week baada ya kuambiwa nirudi, nilichokutana nacho naambiwa card bado haijafika nikamwuuliza huyo mzee ambae ndio yupo kama customer care kua mbona imekua mda sana sasa ananijibu "SASA MIMI NIFANYEJE" Ilibidi nimrudishie hilo hilo swali #kwa hyo unaniuliza mimi ufanyeje sio# akanirudishia form yangu na kunambia hana card kudadeki nilimaindi nikaona nitaharibu2 nikasepa ila NMB punguzeni usumbufu mbona CRDB ilikua week mbili tu jamanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bado mnaitumia NMB?
*kwanza kabisa habari yenu wakuu
Aseee nimekereka sana na hawa NMB baada ya kuanza kufuatilia ATM card yangu iliyopotea toka january 7 nikapeleka taarifa kwenye tawivlao moja hapa DODOMA. Walinambia njoo baada ya wiki mbili week mbili zilipobisha nikaenda naaambiwa maombi hayajatumwa wakanambia njoo baada ya week mbili.baada ya hapo tukawa tumefunga chuo nikawa nimeondoka nimerud hivi mwezi wa tatu tarehe kumi na nane wananiambia kuwa card ilitengenezwa ikatumwa SENGEREMA ambako nilifungulia account yangu nikawauliza mbona niliombea hapa hiyo card wakanambia njoo baada ya siku tatu itakua ishafika hapa(hapo sikua mwenyew nilikutana na jamaa mwingine nae alikua na miezi minne anafuatilia anakuja kuambiwa card yake ipo KIGAMBONI ) sasa jana nimerud ikiwa ni takribani week baada ya kuambiwa nirudi, nilichokutana nacho naambiwa card bado haijafika nikamwuuliza huyo mzee ambae ndio yupo kama customer care kua mbona imekua mda sana sasa ananijibu "SASA MIMI NIFANYEJE" Ilibidi nimrudishie hilo hilo swali #kwa hyo unaniuliza mimi ufanyeje sio# akanirudishia form yangu na kunambia hana card kudadeki nilimaindi nikaona nitaharibu2 nikasepa ila NMB punguzeni usumbufu mbona CRDB ilikua week mbili tu jamanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom