Tunaomba waje watujuze kwani ilikuwa ni uwanja mzuri wa kuwapatia Pongezi, malalamiko, maswali na maoni pia.
 
Waje tuwapatie Pongezi, Maoni, Ushauri na Malalamiko!
Itakuwa poa sana kama walivyoyataka mwanzoni.

Tatizo ni nini hadi Benki kubwa kama hii itoroke humu bila hata ya taarifa kwa wadau wake!

Inasikitisha Jameni!!!!!😏😉☺️😩😁😩😁😩💔👍👀
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom

Utaratibu wenu wa kuweka ATM huwa ukoje,kuna eneo lina wakazi wengi limechangamka kibiashara ila halina ATM,wakazi wanalazimika kwenda mbali kufuata huduma ya ATM,mana mawakala makato nayo si haba,naomba muongozo wenu.
 
KUNA DADA YANGU YEYE NI MTUMISHI WA WILAYA XXXX AMEFANIKIWA KUMALIZA MKPO WAKE NMB. JUZI KAOMBA SALARY ADVANCE MKAMNYIMA KWANINI? WAKATI MWANZO ALIKUWA NA ACCESS KUPITIA APP YENU NA ANAPATA HIYO HUDUMA
 
DOES NMB STILL PROVIDE INTEREST FOR SAVINGS ACCOUNTS?
Ningependa kujua,do you offer interest for our money we deposit in NMB,if so what is the rate.Nimeuliza hili swali kwa kuwa zamani tulikuwa tunapewa interest, ingawa kwa sasa sikumbuki what rate it was.Interest hii Ilikuwa inakuwa deposited in our accounts,siku hizi siioni!And you know what,somehow Ilikuwa inatu-encourage kuweka hela Bank.

Naomba niseme hivi,if you guys do not provide interest,something I believe you do not do,it is not only unfare, but morally wrong,kwa kuwa you are generating income through loans you provide and investments you make in various ventures.Ninyi realistically hamna hela,mna frame tu,for that reason you cannot survive without us.To me banking ni con of some kind.
 
NMB Tanzania Hongereni sana kwa majukumu. Kwanza nawapa pole kwa CRDB kuwapiku kwa kushika namba 1 kuwa Benki yenye ukwasi Mkubwa kuliko nyie.
Mnapaswa kubadilika sana Vinginevyo NBC na TCB pia watawaaacha mbali sana. Muna maeneo mnakwama sana sana;

1. Wafanyakazi wengi wameanza kufanyakazi kwa mazoea. Kuna taasisi kubwa na Mashirika ya Serikali ambayo mpaka sasa NMB mmeshindwa kupeleka MOU za kukopesha watumishi wake na hivyo mnakosesha benki mapato. Kuna Taasisi MOU ina miezi 8 imesainiwa lkn waliopeleka hawajaenda kuichukua. Hatua hii siyo tu kwamba mnakosa wateja wa kukopesha bali pia watumishi wanakosa kupishia posho na mishahara kwa benki yenu kwani wakienda kukopa kwingine hulazimika kuwahama ili kukidhi vigezo vya huko wanapopewa mikopo.

2. Uhaba wa ATM mashine kwenye Wilayani na Majiji makubwa. Hapa sitaki kuongea lkn mnatia aibu sana maeneo mengi huko Mikoani ATM ziko chache na unazitafuta kwa tochi.

3. SIKU ZA WKEND ATM zenu hazina pesa au Network hakuna. Hiii imekuwa kero sana sana sana usiombe iwe wkend ya mwisho wa Mwezi utajuta pesa yako kuwepo NMB utakuta foleni ndeeeefu watu wakitukana na kulalamika kisa pesa hakuna. Hili tatizo limekuwa suguuu na watu wamehama benki yenu kwa ujinga huuu.
Msidharau hiii, kizazi kijacho kinapopita kwenye ATM kinaona huu ujinga kikifika umri wa kuwa na akaunti they will opt other BANKS not NMB kwa ajili ya kuepuka madudu ya sasa.

4. HUJUMA... Hii benki ya walalahoi tangu kuja kwa huduma ya NMB Wakala Kuna harufu ya Hujuma ili mawakala wafanyekazi. Hawa mawakala wenye hii michezo wamejiegesha karibu na ATM nyingi tuuuu. Kinachofanyika ATM muda wooote hazina pesa na ukifika Easy tu mlinzi anakuelekeza ingia pale kwenye Wakala. Ukitaka nikutajieni ATM zenye hii michezo anzeni na ile iliyopo MABIBO OILCOM karibu, Segerea OILCOM. Michezo hii huenda Sambamba na benki zingine hasa ABSA ATM full time zina pesa wateja wanaaambiwa na walinzi wazitumie kuuuuumbe makato yako juu zaidi.
WAkati ni muda, NMB ni benki ya Walipa kodi tunapooona uzembe na uhujumu hatuna budi kupaza sauti.

OMBI: Ifike pahala option ya kutoa LAKI 4 Iwe kwenye screeen as first option. Mnaongeza sana foleni na kuibia watu wasiojua kujaza figure pale ili watoe mikupuo mingi na nyie mpate pesa kisa tu mmeficha figures. Toa ile figure ya elfu 20 weka laki 4 wazi wazi au ifike pahala mlete ATM za kutoa 1 M kwa mkupuo hizi za sasa ni uzembe wa kufikiri sana.
Wkend njema najua nikienda ATM yoyote kupata pesa zangu ni mbinde soon ntachukua maamuzi magumu.
Hongera kwa mwangalizi wa ATM za MLIMANI CITY full time 24 ndio kimbilio hata tulioko Mbagala.
 
Back
Top Bottom