Duuuh pole sana kweli vyuma vimekazaMfumo wa kukokotoa hesabu za mkopo wa nmb kwa watumishi WA serikali ulipoteza kumbukumbu, vp wadau kuna aliewahi kuenda Leo akafanikiwa kuprocess mkopo, maana Hali Tete,msaada tafadhal
Asante mkuu naona mwenzangu iyena iyena Ila ukumbuke bandu bandu humaliza go-go, Ila gogo likiisha cjw utafanya nnDuuuh pole sana kweli vyuma vimekaza
Babaa shidaa ideroo?hii namba 0764461005 ni ya wafanyakazi wa NMB?maana ananiuliza aniulizia kuwa sijafanya uhakiki kwenye akaunti yangu ya NMB. afu mbaya kabisa ananiulizia mara ya mwisho nimetoa hela lini.
NINA SWALI LA MUHIMU KWA NMB.Karibu kufungua NMB Chap Chap Account, piga *150*66# na fungua akaunti sasa. Karibu Sana
Karibu kufungua NMB Chap Chap Account, piga *150*66# na fungua akaunti sasa. Karibu Sana
Hello Azare,Mkuu naomba unisaidie kujibu hilo la mkopo.
Je kama tayari nilishalipa mkopo kwa kutumia mishahara kwa miaka miwili na nusu na ikabaki miwili na nusu nikazuiwa mishahara halafu baadae kabisa wakagundua kuwa sikuwa na kosa la kuzuiwa mishahara...
JE DENI LANGU LITALIPWA LOTE AU?
Hello Azare,
Karibu katika ktawi letu la karibu kuweza kuonana na Afisa mikopo na kukupa taarifa na taratibu sahihi za kutatua tatizo hilo
Karibu sana.
Hivi huwa mnatoa huduma au msaada gani kwa wajasilia Mali haswa sisi vijana.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom