NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri


NMB Tanzania

NMB Tanzania

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
92
Likes
135
Points
40
NMB Tanzania

NMB Tanzania

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
92 135 40
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
 
M

Mr bons

Senior Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
173
Likes
110
Points
60
M

Mr bons

Senior Member
Joined Jun 28, 2018
173 110 60
Kesho nmb kushughulika bima za watu wakiibiwa huo ndoo mtiani wasumbufu sana sijui wana ajenda gani na bima
 
skate-board

skate-board

Senior Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
136
Likes
134
Points
60
skate-board

skate-board

Senior Member
Joined Aug 22, 2018
136 134 60
Ninahitaji kuactivate master kadi yangu ili kufanya online transaction,nifanyeje?
 
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,061
Likes
836
Points
280
Age
46
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,061 836 280
Samahani naomba kuuliza maswali haya NMB

1) baada ya kukopa ni mda gani MTU anaweza kufanya top up
2) branch moja na branch nyingine zinaweza kuwa na sera tofauti?
3) naweza kukopa tawi A alafu nikaenda kutop up tawi B? Lakini ndani benki moja ya NMB
4)riba ni kiasi gani? Na kwa muda gani?
5) ni vigezo gani nafuata ili kuwa NMB Wakala?
6) akaunti ninayo fungua kupitia kwenye simu naweza kupata ATM?
 
Rozanna Agro Africa

Rozanna Agro Africa

Verified Member
Joined
Jul 22, 2018
Messages
300
Likes
230
Points
60
Rozanna Agro Africa

Rozanna Agro Africa

Verified Member
Joined Jul 22, 2018
300 230 60
Kuna urasimu sana ktk kutoa uwakala wa NMB mpk inakera
 
limbende

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Messages
689
Likes
324
Points
80
limbende

limbende

JF-Expert Member
Joined May 14, 2013
689 324 80
Mfumo wa kukokotoa hesabu za mkopo wa nmb kwa watumishi WA serikali ulipoteza kumbukumbu, vp wadau kuna aliewahi kuenda Leo akafanikiwa kuprocess mkopo, maana Hali Tete,msaada tafadhal
 
B

bandu bandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
2,716
Likes
508
Points
280
B

bandu bandu

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
2,716 508 280
Mfumo wa kukokotoa hesabu za mkopo wa nmb kwa watumishi WA serikali ulipoteza kumbukumbu, vp wadau kuna aliewahi kuenda Leo akafanikiwa kuprocess mkopo, maana Hali Tete,msaada tafadhal
Duuuh pole sana kweli vyuma vimekaza
 
T

TLAWI AKONAAY

Senior Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
110
Likes
60
Points
45
T

TLAWI AKONAAY

Senior Member
Joined Sep 16, 2016
110 60 45
hii namba 0764461005 ni ya wafanyakazi wa NMB?maana ananiuliza aniulizia kuwa sijafanya uhakiki kwenye akaunti yangu ya NMB. afu mbaya kabisa ananiulizia mara ya mwisho nimetoa hela lini.
 
sandraeli

sandraeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
1,172
Likes
1,699
Points
280
sandraeli

sandraeli

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
1,172 1,699 280
hii namba 0764461005 ni ya wafanyakazi wa NMB?maana ananiuliza aniulizia kuwa sijafanya uhakiki kwenye akaunti yangu ya NMB. afu mbaya kabisa ananiulizia mara ya mwisho nimetoa hela lini.
Babaa shidaa ideroo?
 
amri ngisi

amri ngisi

Member
Joined
Jan 30, 2017
Messages
47
Likes
20
Points
15
Age
33
amri ngisi

amri ngisi

Member
Joined Jan 30, 2017
47 20 15
Swalilangu nikwamba kutoa shilingi million 1 benk kwenda kwenye simu vipi kuu adayake
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,242
Likes
12,749
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,242 12,749 280
Karibu kufungua NMB Chap Chap Account, piga *150*66# na fungua akaunti sasa. Karibu Sana
NINA SWALI LA MUHIMU KWA NMB.

Kuna watumishi katika baadhi ya Wilaya waliondolewa kwenye PAYROL tangu 2016 na mishahara yao iilikuwa inapitia benki ya NMB.

Mimi pia nilipata tatizo hilo...nilikuwa nikienda kwenye A/C yangu nakuta kumeandikwa "Blocked by DED ....." hapo kwenye desh desh ni jina la Wilaya, kwamaana ya kwamba aliyeblock salary flow ni Mkurugenzi mtendaji ambaye ndiye Mwajiri.

Baada ya hapo ilikuja kufahamika kuwa tuliondolewa kimakosa tu na tunapaswa kurudishwa katika PAYROLL

■ SWALI JE kama nilichukua mkopo na miaka mitano ilipaswa kuisha katikati ya mwaka huu, ITAKUAJE?

mwenzangu niliyechukua naye mkopo siku 1 tayari ameshamaliza...mimi mishahara ilizuiwa ila nilishalipa nusu ya mkopo, ikaja kugundulika sikuwa na kosa la kuzuiwa mishahara.


JE BADO NINADAIWA? NASAIDIKAJE?


Msaada please.
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,242
Likes
12,749
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,242 12,749 280
Mkuu naomba unisaidie kujibu hilo la mkopo.

Je kama tayari nilishalipa mkopo kwa kutumia mishahara kwa miaka miwili na nusu na ikabaki miwili na nusu nikazuiwa mishahara halafu baadae kabisa wakagundua kuwa sikuwa na kosa la kuzuiwa mishahara...

JE DENI LANGU LITALIPWA LOTE AU?
Karibu kufungua NMB Chap Chap Account, piga *150*66# na fungua akaunti sasa. Karibu Sana
 
NMB Tanzania

NMB Tanzania

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
92
Likes
135
Points
40
NMB Tanzania

NMB Tanzania

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
92 135 40
Mkuu naomba unisaidie kujibu hilo la mkopo.

Je kama tayari nilishalipa mkopo kwa kutumia mishahara kwa miaka miwili na nusu na ikabaki miwili na nusu nikazuiwa mishahara halafu baadae kabisa wakagundua kuwa sikuwa na kosa la kuzuiwa mishahara...

JE DENI LANGU LITALIPWA LOTE AU?
Hello Azare,

Karibu katika ktawi letu la karibu kuweza kuonana na Afisa mikopo na kukupa taarifa na taratibu sahihi za kutatua tatizo hilo

Karibu sana.
 
Mwl Philemon

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
12
Likes
8
Points
5
Mwl Philemon

Mwl Philemon

Member
Joined Nov 29, 2018
12 8 5
Wakati mtu anapokopa huwa mnakata sehemu ya fedha mnazoita ninyi bima ya mkopo. Je akimaliza kulipa deni lake hiyo bima anarudishiwa? Maana ni mali yake?
 
mende msafi

mende msafi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
1,097
Likes
2,019
Points
280
mende msafi

mende msafi

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
1,097 2,019 280
Wakuu NMB Tanzania
Hivi majuzi nilitoa pesa kwa ATM, na nilipotoa risiti ikanionyesha figure za 'salio" na 'kiasi kilichopo' zinatofautiana kwa kiasi cha 110k ('kiasi kilichopo' kikiwa pungufu kwa 110k dhidi ya 'salio' ambapo figure za kwenye salio ndizo figure sahihi kuwepo kwa acc. Nikachukulia poa, nilivyokwenda kutoa hela tena salio lilipungua kutoka kwenye kile kiwango ambacho siyo sahihi (kiwango pungufu). Nikaenda kwa tawi jirani nikaeleza situation wakaniambia nijaze form ya ATM refund na nikaambiwa pesa itarejeshwa baada ya masaa 24, lakini yakapita masaa zaidi ya masaa 48 bila pesa kurudi. Leo nimeenda bank kuulizia inakuwaje wakasema ishu hiyo inabidi ishughulikiwe na mtu aliyepeleka hiyo form ambaye leo hakiwepo na atarudi jumatatu.

Sasa napenda kujua yafuatayo:

Ni sababu zipi zinasababisha amount za kwenye 'salio' na 'kiasi kilichopo' kutofautiana kwenye risiti zinazotolewa na ATM.

Pili, japo shida yangu imeanza kushughulikiwa lakini naomba kujua itanichukua muda gani hadi kupata pesa yangu?

Nawasilisha.
 
Mr. Bigman

Mr. Bigman

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Messages
2,480
Likes
1,039
Points
280
Mr. Bigman

Mr. Bigman

JF-Expert Member
Joined May 7, 2011
2,480 1,039 280
Naomba kujuzwa kuhusu mikopo kwa watumishi wa umma. Nina mKopo NMB na CRDB . Kwa sasa mshahara unapita CRDB na na ninataka kutop up mkopo wa NMB. Je ninalazimika tena kupitishia mshahara NMB iwapo ninayo Akaunti hai?
 

Forum statistics

Threads 1,237,078
Members 475,401
Posts 29,277,500