NMB Ni bank nambari one kwa huduma nambari one za kifedha, INA wafanyakazi weledi na NMB ni wafumbuzi wa matatizo.

Nina mfano hai jinsi NMB walivyo innovative

Pongezi za kipekee kwa NMB Sanya Juu na nchi nzima.
 
Ukitaka uwaka wa NMB unatakiwa uwe na vigezo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa Wakala wa NMB unahitajika uwe na uzoefu wa biashara angalau miezi 18 na kuendelea hili litathibitishwa na leseni za biashara), namba ya mlipa kodi (TIN namba), vitambulisho vinavyokubalika kihalali, barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa, wadahamini wawili wenye vitambulisho Halali, picha ya biashara husika iwe ya karibuni na iwe ya rangi, unatakiwa kuwa na mtaji (float) ya milioni mbili na gharama ya mashine ni laki mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kama take home ni 545,000/= baada ya kuchukua mkopo mwaka juzi wakawa wananikata 147,861/=,na take home sasa ni 397,139/=,sasa hivi ninahitaji mkopo mwingine wa kama 3,000,000/= ambao kipindi cha kulipa ni miaka 4,na take home itabaki 300,000/= Je NMB watakubali kunipatia huo mkopo mwingine?
Na kwa upande DED(mkurugenzi wa Halmashauri) kuna kizuizi cha hiyo take home

Mbona mshahara kiduchu sana bro?!! Ngoja waje NMB wakujibu ili ujikwamue.
 
Hivi Kama take home ni 545,000/= baada ya kuchukua mkopo mwaka juzi wakawa wananikata 147,861/=,na take home sasa ni 397,139/=,sasa hivi ninahitaji mkopo mwingine wa kama 3,000,000/= ambao kipindi cha kulipa ni miaka 4,na take home itabaki 300,000/= Je NMB watakubali kunipatia huo mkopo mwingine?
Na kwa upande DED(mkurugenzi wa Halmashauri) kuna kizuizi cha hiyo take home

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lisilowezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni ya kuhusu Nmb KLIK; kusiwe na ulazma wa kutumia huduma ya nmb KlIK mpaka line ya nmb mobile mpaka iwe na internet service, uwepo wa line kwenye simu inatosha , maana sio kila eneo lina mtandao mzur wa internet wa laini husika .

Mimi NMB mobile natumia line ya Tigo Ila internet natumia Halotel, wewe unapata changamoto gani mkuu kutumia hii NMB klik ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIVI NYIE NMB MKOJE? JAMANI MI NATAKA KU CLEAR DENI LANGU LOTE LA MKOPO LILILOBAKI, ILA SASA NI WK YA PILI TANGU NIWAOMBE HIYO BARUA YA DENI LILILOBAKI, HV TATIZO NI NN?
UKIULIZA UNAAMBIWA MAKAO MAKUU BADO HAWAJATUMA TAARIFA, MNAKWAZA SANA, YANI SITORUDIA TENA KUKOPA KWENYE BANK YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nimeshawauliza kuhusu suala la uthibitisho wa mkopo wangu kuisha tangu August mwaka jana lakini wananiyumbisha tu.

Wananiambia niende makao makuu ya benki yao wakati sikukopa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NMB ni wahudumu wenye ukarimu na uweredi katja utotuzi wa msaada kwa client wake..wamenisaidia sanaa..nilienda CRdB bank wamenizungusha sana mara kalete affidavit as to names mara barua ya mtendaji mara cheti chakuzaliwa...wanaboa sanaa..alafu at the end of the day.

Wanakuja kuniambia tunataka kuifunga account yako et ilifunguliwa kimakosa...yaan bila kujali nimepoteza muda na fedha zangu kiasi gani..so sad..
 
Back
Top Bottom