Hongera kwakujitokeza kujibu hojaMeinKempf
Mkuu kwa hili NMB wanastahili pongezi za hali ya juu.. Mimi sikutegemea NMB wanaweza kuwa watu wa kujali kiasi hiki cha kujitojeza jukwaani na kuomba radhi... Nadhani ninakila sababu sasa ya kujiunga na hii bank inayoonyesha kujali.. CCleaner Happy Wheels VLC
Asanteni NMB,as ante Jamii Forums
Kuwa Wakala wa NMB unahitajika uwe na uzoefu wa biashara angalau miezi 18 na kuendelea hili litathibitishwa na leseni za biashara), namba ya mlipa kodi (TIN namba), vitambulisho vinavyokubalika kihalali, barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa, wadahamini wawili wenye vitambulisho Halali, picha ya biashara husika iwe ya karibuni na iwe ya rangi, unatakiwa kuwa na mtaji (float) ya milioni mbili na gharama ya mashine ni laki mbili.
Hivi Kama take home ni 545,000/= baada ya kuchukua mkopo mwaka juzi wakawa wananikata 147,861/=,na take home sasa ni 397,139/=,sasa hivi ninahitaji mkopo mwingine wa kama 3,000,000/= ambao kipindi cha kulipa ni miaka 4,na take home itabaki 300,000/= Je NMB watakubali kunipatia huo mkopo mwingine?
Na kwa upande DED(mkurugenzi wa Halmashauri) kuna kizuizi cha hiyo take home
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lisilowezekana.Hivi Kama take home ni 545,000/= baada ya kuchukua mkopo mwaka juzi wakawa wananikata 147,861/=,na take home sasa ni 397,139/=,sasa hivi ninahitaji mkopo mwingine wa kama 3,000,000/= ambao kipindi cha kulipa ni miaka 4,na take home itabaki 300,000/= Je NMB watakubali kunipatia huo mkopo mwingine?
Na kwa upande DED(mkurugenzi wa Halmashauri) kuna kizuizi cha hiyo take home
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivoMbona mshahara kiduchu sana bro?!! Ngoja waje NMB wakujibu ili ujikwamue.
Mimi NMB mobile natumia line ya Tigo Ila internet natumia Halotel, wewe unapata changamoto gani mkuu kutumia hii NMB klik ?Maoni ya kuhusu Nmb KLIK; kusiwe na ulazma wa kutumia huduma ya nmb KlIK mpaka line ya nmb mobile mpaka iwe na internet service, uwepo wa line kwenye simu inatosha , maana sio kila eneo lina mtandao mzur wa internet wa laini husika .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nimeshawauliza kuhusu suala la uthibitisho wa mkopo wangu kuisha tangu August mwaka jana lakini wananiyumbisha tu.HIVI NYIE NMB MKOJE? JAMANI MI NATAKA KU CLEAR DENI LANGU LOTE LA MKOPO LILILOBAKI, ILA SASA NI WK YA PILI TANGU NIWAOMBE HIYO BARUA YA DENI LILILOBAKI, HV TATIZO NI NN?
UKIULIZA UNAAMBIWA MAKAO MAKUU BADO HAWAJATUMA TAARIFA, MNAKWAZA SANA, YANI SITORUDIA TENA KUKOPA KWENYE BANK YENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza inalzimisha laini uliyojisajilia nayo nmb mobile iwe kwenye simu tena kama simu yako ni lain mbili lazima iwe port namba moja..Mimi NMB mobile natumia line ya Tigo Ila internet natumia Halotel, wewe unapata changamoto gani mkuu kutumia hii NMB klik ?
Sent using Jamii Forums mobile app