Huyu Mkurugenzi Charles Mahera tunajuwa namna alivyopata hii nafasi ya Ukurugenzi wa NEC kwa upendeleo ili aje atumike kumptisha Magufuli akishindwa au atengeneze mazingira ya Magufuli kushinda...
Kupotezeana muda tu. Kama Magufuli hajaitwa mbeba maono asiende... Tuone watamfanya nn.
 
Acha Mwamba aende, wenyewe watasunda mpira kwapani. Nimeipenda hii akawape live.
 
Meko kwisha habari yake. Ameamua kushirikisha tume imnusuru, but it's too late. Lissu hakamatiki mida hii. Sana sana wanamuongezea umaarufu tu
Haya ngoja tuone umaarufu uongezeke kwani kuna tatizo si ndiyo mshangilie kabisa!?
 
Pumbavu mbwa koko wewe,mtu awe anaongea uongao na kuzusha mambo kinyume cha sheria aachwe. Kisa ni mpinzani?
 
Reactions: UCD
Ila jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Mnalo mwaka huu.Magu siku ile anachukua form aliunguruma pale ukumbi wa mikutano wa ccm na swaga zake za ndege,reli na hydro power sasa kaenda field kakuta wananch wanaona hizo swaga ni utopolo,kakunja mkia,sasa anatafuta huruma ya NEC
 
Kama siyo huru mbona unashiriki uchaguzi na umesaini masharti ya kampeni?? Hivi nyinyi mnashida gani kwenye vichwa vyenu??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…