kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,057
8,723
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.

Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana ni kweli tupu yenye uchungu, kuanzia ikulu, bungeni hadi maofisini na vyuoni.

Amkeni by Ney wa Mitego!

 
Aloooooooooo
wote ni wanaharakati wazuri.
roma mafumbo mengi na inahitaji akili mingi kumuelewa mistari yake.
ney yeye anayamwaga hadharani hata mtoto wa darasa la pili anaelewa kilochoimbwa.
 
Kwa mazingira ya sasa ya uimbaji wa roma na ney
ney ndo alitakiwa awe ughaibuni sasabu hapunguzi ukali wa mistari yake na roma ndo alitakiwa awe bongo.
 
Back
Top Bottom