roma mkatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinjekitile Jr

    Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  2. Mwl.RCT

    Roma Mkatoliki – Tupeni Chetu

    Today, the esteemed Roma Mkatoliki graces us with his triumphant return, presenting his latest musical masterpiece titled "Tupeni Chetu."
  3. Teko Modise

    Tupeni Chetu - Roma Mkatoliki

    Ijumaa ya leo tarehe 18/08/2023 Msanii maarufu kwenye nyimbo zinazogusa maisha halisi ya Watanzania, Roma Mkatoliki ataachia wimbo wake uuitwao “Tupeni Chetu.” Wimbo huu utagusia suala zima la bandari ambalo ndio jambo linalojadiliwa zaidi hapa nchini kwa sasa. Kaa mkao wa kutega sikio muda...
  4. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  5. Smart AJ

    Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana, nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini? Manake huyu naye Kwa kuropoka tu hajambo. Ina maana atamtaja aliyemuua Nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben. Niliogopa sana, ila nkaja kugundua anazungumzia Kifo. So mimi ni...
  6. D

    Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

    Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine. Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma. Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya...
  7. Street brain

    Nipeni Maua Yangu: Roma Mkatoliki karudi

    Kwema humu, Roma mkatoliki kaachia ngoma na Abiud inayoenda kwa jina la "Nipeni maua yangu." Daaah nimeisikiliza kwa kuirudia mara 3(×3), aisee mwamba Roma kaja kivingine baada ya kupotea kwa kipindi kirefu sasa amethibitisha kuwa anarudi rasmi kwenye game. Kaeni mkao wa kula any time is tea...
  8. Dasizo

    Hivi ni mistari gani imekugusa zaidi kwenye wimbo mpya wa ROMA mkatoliki ?

    Hivi ni mistari gani imekugusa zaidi kwenye wimbo mpya wa ROMA mkatoliki ? Nipeni maua yangu🌹🌹 1: kwanini bega lipo karibu na kwapa? 2:kutuonesha maziwa huku mmeficha chuchu ✍️✍️ Twende sawa
  9. B

    Roma Mkatoliki: Vyuma Vimekaza Mama ameficha Grisi. Askofu anaiba kura.......vipi Sadaka?

    Sina cha kuongeza. Roma anaungan na Rais Samia kuhimiza umoja, haki na amani. Pia anamkumbusha Rais kuwa wanaopongeza wanamlamba viatu ili awape Teuzi
  10. Greatest Of All Time

    Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  11. sinza pazuri

    Roma, Wakazi na Linex ni mfano wa watu waliopishana na vipaji vyao!

    Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki. 1. Roma Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani...
  12. Mohammed wa 5

    Roma Mkatoliki unarudi lini

    Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani. Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako...
  13. R

    Arusha wanataka Roma Mkatoliki arudi nchini. Je, atakubali kurejea?

    Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi. Wananchi wa Hali ya chini wanamkumbuka Roma na kumwombea usalama arejee nyumbani lakini wasanii wenzake...
  14. Chakaza

    Makonda sasa utujibu kuhusu sakata la Roma Mkatoliki

    Tuhuma zako ni nyingi sana kuwa umeshiriki utekaji, mateso na hata uuaji. Pengine hizi tuhuma ni kweli au pia sio kweli. Lakini mwenye majibu kamili ni wewe mwenyewe. Sasa tuambie ukweli, wakati watu wamejawa na mashaka kuwa Roma Mkatoliki ndio ametoweshwa kabisa kama Ben Saanane ulijitokeza na...
  15. Labani og

    Roma Mkatoliki: Takwimu zaonesha wachawi wengi ni wanawake zaidi kuliko wanaume

    Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume. Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni wakike kuliko wanaume Swali: je ni kwasababu duniani wanawake Ni wengi zaidi! Au Kuna sababu zingine?
  16. Mshana Jr

    Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

    Nimeshangazwa na hadhi ya ukimbizi aliyopewa Roma Mkatoliki nchini Marekani. Hii pengine inatokana na kule kukamatwa kwake na wale WASIOJULIKANA kisha katika hali ya kushangaza sana na kwa muda uliopangwa Roma akapatikana akiwa hoi majeruhi na majeraha ya kuteswa. Baada ya kupata nafuu majeraha...
Back
Top Bottom