Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.
...
Nchi haina mwelekeo kwa kutumia pesa nyingi kujenga makao makuu mapya Dodoma wakati wananchi wana mahitaji mengi- huduma za afya, madawati, maji nakadhalika. Tunahitaji kuwa na maamuzi sahihi siyo kufuata maono ya mtu mmoja.
 
Sasa Mkuu hapa umekuja kushabiki Sana , mtaani hatujawai angukia pua ,sema tu hua mwaiba kura , na Wala sio shida Kama unaweza shinda KWa haki , tutakupongeza na maisha yataendelea , Sasa mnaiba kura
Kwa hiyo nchi nzima mnaibiwaga kura? 😀😀😀

Msimu ujao mama atawaonea huruma mtapata wabunge wasiozidi 15 Ili mpatepo ruzuku..

Urais sijui Katiba mpya mtazisikia redioni tuu
 
Hatutaki huruma, TUNATAKA wananchi kuamua nani the best kuwaongoza , ruzuku kwetu sio kipaumbele , maana uwezo wa kujiendesha bila ruzuku zenu za masimango japo ni kodi za WATANZANIA tunao
 
Tafadhalini msimtupie zigo lenu Mzanzibari Mkaazi Raisi Samia, mmevurugana wenyewe tokea zamani,kama kuuwana mmeuwana wenyewe kama kuongoza kwa mikakati mibaya ni nyinyi wenyewe na kama mliyoyaunda hayana faida basi sababu ni nyinyi,kuyaweka sawa yote yanahitaji miaka mingine mfano wa tokea tulipopata uhuru.
Presidentess Samia atajaribu tu lakini kuwaweka sawa hilo sio leo wala kesho.
 
Sukuma gang wanaweweseka, hawaamini kama marehemu kafa.

Nchi hii kamwe hatoruhusu tena kutawaliwa na washamba.
 
Sie jeuri ndio ,karibu CHADEMA MKUU
Nikaribie kwenye njaa? Nimerogwa?

Naenda kwenye shibe 👇

Screenshot_20210921-102138.png
 
Tafadhalini msimtupie zigo lenu Mzanzibari Mkaazi Raisi Samia, mmevurugana wenyewe tokea zamani,kama kuuwana mmeuwana wenyewe kama kuongoza kwa mikakati mibaya ni nyinyi wenyewe na kama mliyoyaunda hayana faida basi sababu ni nyinyi,kuyaweka sawa yote yanahitaji miaka mingine mfano wa tokea tulipopata uhuru.
Presidentess Samia atajaribu tu lakini kuwaweka sawa hilo sio leo wala kesho.
Basi awaachie watakaoweza kufanya vizuri hiyo kazi.
 
Rais Samia Suluhu alianza vizuri katika siku zake 100. Baada ya kuanza kukandamiza haki za binadamu, kukubali kudanganywa na wakina Siro kuhusu kesi ya ugaidi wa Mbowe, kuanza kusema uongo, kuanza kuvimba kichwa, hapo ndipo alipoanza kujiharibia sifa zake kama kiongozi wa nchi.

Kwa lililotokea Marekani ile zomea zomea ni haibu kubwa mno. Tena kubwa mnooooo hasa kwa kiongozi kama yeye, mwenye miezi 6 tu na Mwanamke. Yale mabango yalibandikwa pale mlangoni. Kila aliyekuwa anaingia lazima akutane nayo. Yeye mwenyewe alikutana nayo na kuyasoma. Ebu imagine dunia nzima inapita wanakusoma kwa mambo ya ajabu, unajisikiaje? . aisee ni fedheha na haibu kubwa mno kuwahi kutokea katika historia ya nchi hiyo.

Kwa hakika I feel bad kuongozwa na Rais huyu. Mimi ni CCM damdam na kiongozi mwandamizi ila haya yanayoendelea yanasikitisha.

One, thing i can assure You. Kwa ile aibu ya juzi. Rais huyu atabadilika sana sana. kaona namna unaweza kuaibishwa na kudhalilishwa kule nje. Taking a note kuwa Wanawake wote duniani hakuna kitu wanakiogopa na kujishtukia kama kupata aibu au kudhalilishwa...

Rais wetu. Mwenyekiti wetu. Badilika. Kwa hakika suala la Mbowe hata sisi hatulikubali. Linachafua nchi. na kubwa zaidi linaweka wazi uozo wa polisi wetu.... Kwa ule ushahidi wa jana wa Adamoo, kama kweli wasaidizi wako watakuwa wanakupenda Jumatatu kabla mtuhumiwa wa pili kuanza kutoa ushahidi DPP afute kesi hiyo. Inatudhalilisha sana sana, sijui kama unajua.

anyway, niseme tu tayari tumemtengeneza Mgombea wa upinzani wenyewe na kumpa nguvu wenyewe. Mbowe is new Hichilema. 2025 ndio candidate wa upinzani. Tumempa umaarufu huo na fursa hiyo wenyewe.... Ni sober, cool, composed, organized than Lisu...

Kama Rais unajua kabisa bado kuna vuguvugu la watu wa awamu ya 5 hawajakukubali. Bado unajua kuna suala la Kanda ya ziwa yote hukubaliki. Bado unajua Kanda ya Kaskazini hukubaliki. Bado unajua majiji kama Dar, Mbeya hukubaliki. Usingewasikiliza washauri wanaotaka kukupoteza. Hawakusaidii bali wanakupoteza. Wameanza tena kuwapiga Machinga. Leo hii Machinga, Mama Ntilie, Boda boda wanamlilia na kumkumbuka Magufuli mithili ya mbegu ilioshamiri. Nikwambia tu altenative ya magufuli wenyewe kwa uwepesi wataona na Mbowe. Kwa sababu tumeamua kumkuza na kumpa nguvu kwa issue ya kitoto za polisi... 2025 sio mbali. CCM tunakiri tutakuwa na uchaguzi ulio mgumu kuwahi kutokea katika nchi hii. Kama utagombea wewe!... ili uwe rahisi basi badili gia angani. Usiwasikilize hao washauri wako. tumia akili yako zaidi kama Magufuli alivyokuwa anafanya.
 
hata kama unamchukia mama Samia, ndio kwa akili zako timamu kabisa unamfananisha hichilema na mbowe?

yaani unaona kabisa CCM wataiachia nchi na katiba hii, tume hii?

hauoni chuki zako zimepofua reality umekuwa kama katoto kako uchi na kadudu kako nje!!

tumia akili

CDM, mbowe,.Lissu, na wanaofanana nao hawawezi kuwa marais nchi hii na hii ni hata kama mgombea wa CCM awe amber ruty, faru john, mbwa fulani tandika...ili mradi yuko CCM atashinda tu, get this fact straight to your nose...fanya kama nimeingiza vidole viwili puani, upate akili
 
Rais Samia Suluhu alianza vizuri katika siku zake 100. Baada ya kuanza kukandamiza haki za binadamu, kukubali kudanganywa na wakina Siro kuhusu kesi ya ugaidi wa Mbowe, kuanza kusema uongo, kuanza kuvimba kichwa, hapo ndipo alipoanza kujiharibia sifa zake kama kiongozi wa nchi.

Kwa lililotokea Marekani ile zomea zomea ni haibu kubwa mno. Tena kubwa mnooooo hasa kwa kiongozi kama yeye, mwenye miezi 6 tu na Mwanamke. Yale mabango yalibandikwa pale mlangoni. Kila aliyekuwa anaingia lazima akutane nayo. Yeye mwenyewe alikutana nayo na kuyasoma. Ebu imagine dunia nzima inapita wanakusoma kwa mambo ya ajabu, unajisikiaje? . aisee ni fedheha na haibu kubwa mno kuwahi kutokea katika historia ya nchi hiyo.

Kwa hakika I feel bad kuongozwa na Rais huyu. Mimi ni CCM damdam na kiongozi mwandamizi ila haya yanayoendelea yanasikitisha.

One, thing i can assure You. Kwa ile aibu ya juzi. Rais huyu atabadilika sana sana. kaona namna unaweza kuaibishwa na kudhalilishwa kule nje. Taking a note kuwa Wanawake wote duniani hakuna kitu wanakiogopa na kujishtukia kama kupata aibu au kudhalilishwa...

Rais wetu. Mwenyekiti wetu. Badilika. Kwa hakika suala la Mbowe hata sisi hatulikubali. Linachafua nchi. na kubwa zaidi linaweka wazi uozo wa polisi wetu.... Kwa ule ushahidi wa jana wa Adamoo, kama kweli wasaidizi wako watakuwa wanakupenda Jumatatu kabla mtuhumiwa wa pili kuanza kutoa ushahidi DPP afute kesi hiyo. Inatudhalilisha sana sana, sijui kama unajua.

anyway, niseme tu tayari tumemtengeneza Mgombea wa upinzani wenyewe na kumpa nguvu wenyewe. Mbowe is new Hichilema. 2025 ndio candidate wa upinzani. Tumempa umaarufu huo na fursa hiyo wenyewe.... Ni sober, cool, composed, organized than Lisu...

Kama Rais unajua kabisa bado kuna vuguvugu la watu wa awamu ya 5 hawajakukubali. Bado unajua kuna suala la Kanda ya ziwa yote hukubaliki. Bado unajua Kanda ya Kaskazini hukubaliki. Bado unajua majiji kama Dar, Mbeya hukubaliki. Usingewasikiliza washauri wanaotaka kukupoteza. Hawakusaidii bali wanakupoteza. Wameanza tena kuwapiga Machinga. Leo hii Machinga, Mama Ntilie, Boda boda wanamlilia na kumkumbuka Magufuli mithili ya mbegu ilioshamiri. Nikwambia tu altenative ya magufuli wenyewe kwa uwepesi wataona na Mbowe. Kwa sababu tumeamua kumkuza na kumpa nguvu kwa issue ya kitoto za polisi... 2025 sio mbali. CCM tunakiri tutakuwa na uchaguzi ulio mgumu kuwahi kutokea katika nchi hii. Kama utagombea wewe!... ili uwe rahisi basi badili gia angani. Usiwasikilize hao washauri wako. tumia akili yako zaidi kama Magufuli alivyokuwa anafanya.
Kwa mujibu wa Lissu nchi inaongozwa na Majaliwa na Waziri wa Utawala Bora ambaye ni Mkwe wake.

Maamuzi mengi magumu hasa Usalama kawaachia wengine.Ndio maana anapiga pucha na Mange ambaye anatafutwa na Sirro.
 
Hili neno HAIBU lina maana gani?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu rais Sasa mnataka rais aingilie mahakama..? Kila siku mnahubiri demokrasia,vipi demokrasia ya Sasa inaruhusu rais kuingilia mahakama..??
 
Back
Top Bottom