Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,940
- 33,545
Hako kajamaa kanampenda Samia kiasi kwamba hata makosa yake ya wazi anakwepesha ili aonekane hajakoseaWewe ni mpumbavu
Hako kajamaa kanampenda Samia kiasi kwamba hata makosa yake ya wazi anakwepesha ili aonekane hajakoseaWewe ni mpumbavu
Walifikiri kwa kiwango cha chini sana, hii tozo ya miamiala inaonesha ni namna gani wanatafuta kodi hata ambazo si rafiki kwa mlipaji.
Hii leo nimetimiza siku 6 bila kutuma pesa kwa njia ya simu.
Mkuu itakuwa umepiga BAF. Umeeleza ukweli mweusi.Watu wengi hasa watanzania hawajui tofauti ya Economics and Finance. Uchumi sio finance, profesion ya Finance hajulikani vzr hivyo watu hupelekea kuwapa wizara ya fedha watu wa uchumi ambao hawana utaalamu kabisa kwenye mambo ya finance...
🤣🤣🤣Eti naye anataka kuwa Rais 2025
Usikivu upi?Mama ni msikivu sana. Mwigulu alipotosha baraza kwa hizi kodi za mshikamano
Tozo zinaweza kuwa kubwa lakini mantiki yake ipo pale pale.Mengine haya hapa yaliyokuwa yanapongeza kwa bashasha hizo tozo jingalao Jumbe Brown Phillipo Bukililo na binamu zao.
Bado hawajaondowa tozo kabisa kwahiyo unataka kulejeshewa nini?Tuliokatwa waturejeshee please
Watu wenyewe TBC waliokua wakiwahoji, walikuwa wakiongea huku wanatetemeka.Jana nikaona TBC nao wanahamasisha hii tozo. Wakatafuta watu wakawaweka studio na kuandika headline "Faida ya tozo" ujinga mtupu.
Tozo zinaweza kuwa kubwa lakini mantiki yake ipo pale pale.
Ukishaanza kuingia uchumi wa kati hao wafadhili wanakutazama tofauti na yule wa uchumi wa chini.
Zitapunguzwa viwango lakini haziwezi kufutwa. Hakuna mjomba wala shangazi wa kudumu kutoka huko nje, wana matatizo yao mengi tu.