Unapenda mizigoKuliko noma yenyewe😀
Upo tayali kuchukua posaHuu unaitwa ukweli wa moyo😂
Umenifanya nimecheka sanaaa 😅😅hutaki kuoa tabia maana usiku hulali na tabiaSura na shape aisee.
Mambo ya kuoa tabia kumbe anakuigizia, then baadae anaanza kuonyesha makucha.
Unakua umepata hasara mbili. Muonekano mbovu. Tabia Mbovu.
Bora hasara nusu.
Kiuchumi zaidi 😁😁Umenifanya nimecheka sanaaa 😅😅hutaki kuoa tabia maana usiku hulali na tabia
Unataka zigoo la kuvunja chagaKiuchumi zaidi 😁😁
Ifanyie kazi mkuu🤣Nimeipenda hii sloganView attachment 3584844
Heri nusu shari kuliko shari kamili…😁Sura na shape aisee.
Mambo ya kuoa tabia kumbe anakuigizia, then baadae anaanza kuonyesha makucha.
Unakua umepata hasara mbili. Muonekano mbovu. Tabia Mbovu.
Bora hasara nusu.
Yupo mwanamke ni mzuri wa tabia na kila kitu, ila anakuwa spoiled katika pitapita yake. Huyu akipata chaka zuri waga anakuwa mwema na anabadirika kabisa.*Fact moja kuhusu wanawake ni kwamba; wanawake wana vitu vinashabihiana, ila wanawake hawapo sawa kwa kutenda, kufikiria na kuamua.*
Yupo mwanamke ni mzuri wa tabia na kila kitu, ila anakuwa spoiled katika pitapita yake. Huyu akipata chaka zuri waga anakuwa mwema na anabadirika kabisa.
Kuna watu wameoa ma barmaids, wauzaji na madanga na ndoa zipo poa kabisa.
Kwa iyo ni namna tuu ya mindset ya mwanamke mwenyewe.
Dah huu mtihani
Tabia njema sura mbaya ...kizaz chako kinaweza kuwa sokwe huko mbele
Binafs sura tabia inadhibitiwa vizur