We msaliti mavumbi rudi kundini kataa ndoa wanakuliliaoya acha ukenge maji boya wee
Fala wee 😂🤣We msaliti mavumbi rudi kundini kataa ndoa wanakulilia
Kataa ndoa wanakulilia rudiFala wee 😂🤣
mambo yangu haya.
hakika mkuu najitahd mnoVizuri mkuu, usiache kuwa karibu na mtoto, mtoto ni binadamu atakuwa anajua wewe ni baba yake!
Ukitokomea hatakuwa na picha hiyo, na atakuchukia maisha yake yote.
hiyo haipo dada angu, sie wababa tunawafanyia yote watoto, ila mama ndo mfaidika mkubwa.Mtoto MashaAllah
Mlee we na mama ake kwa kushirikiana
Asiwepo mtu akamtumia mtoto zidi ya mwenzie
kuna wadada watatu ni ndugu walikuja kwetu kama wagen ile nafungua geti tu nakutana na pua kubwaa sura ya baba. Kidogo nichekeTuko warembo mbona
Hahaa
Wasituchukulie poa
Sio kweli hata kidogo matatizo yapo pande zotehiyo haipo dada angu, sie wababa tunawafanyia yote watoto, ila mama ndo mfaidika mkubwa.
ILA ni majukumu yetu lazma tufanye
fanya utafiti dada anguSio kweli hata kidogo matatizo yapo pande zote
Kaka sitaki kusema sana ukikaa na wana wake utasema wanaume walaniwefanya utafiti dada angu
Kwahiyo matatizo ni pande zoteKaka sitaki kusema sana ukikaa na wana wake utasema wanaume walaniwe
Ukikaa na wanaume utasema wanawake ni mashetani
Kwahiyo matatizo ni pande zote
Sema kila gender inavutia kwake
Dad*Kwahiyo matatizo ni pande zote
Sema kila gender inavutia kwake*✍🏿
zigo kama hili unalipaka mafuta kwenye matakoo na kwenye mnduku baada ya hapo unapakua kinyesi😀😀😀nimebadilishaView attachment 3584980