Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?

Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?

Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya?

Zingatia neno TABIA MBAYA!View attachment 3584537
Kwenye swala la ndoa hakuna turning back!, rehearsal!

Ndoa sio majaribio! Ama sifa eti umeoa kisu!
Kitakuwa kisu kweli maishani mwako!

Ukijidanganya ya kuwa sura hairekebishiki, na kuwa tabia inarekebishika....

Utakumbuka shuka kumekucha!

Kwenye ndoa tunaangalia mwanamke mlezi wa familia,
Oa sura mlezi wa maumivu!
 
Kwenye swala la ndoa hakuna turning back!, rehearsal!

Ukijidanganya ya kuwa sura hairekebishiki, na kuwa tabia inarekebishika....

Utakumbuka shuka kumekucha!

Kwenye ndoa tunaangalia mwanamke mlezi wa familia,
Oa sura mlezi wa maumivu!
 
Balance ni muhimu sana kwa sababu lazima ufikirie kizazi kitakachokuja kuzaliwa kitakuwaje?. Hata ng'ombe na kuku tukitaka kupandikiza lazima tuchague dume bora, good genes ni muhimu.

Usipoangalia binti zako wanaweza kuja kukosa wachumba ukubwani,ukawa na watoto wa kiume wafupi kama stuli. Wakaishia kushindwa kuingia jeshini kwa sababu ya kimo,wakakosa fursa za michezo kwa sababu ya kimo pia.

Ukitaka kuoa chunguza sana phenotype,ana nywele,kimo, rangi yenye nuru, akili za maisha. Hakikisha hana magonjwa ya kurithi,kigugumizi,ualbino, allergy za ajabu ajabu,sura isiwe pana au nyembamba sana. Mwanamke hatakiwi kuwa na flat foot nk .
Weka picha
 
Mim natamani nimpate bint mweny heshima/good manner

Sura ya kati tu asiwe mzuri sana, na awe maji ya kunde
Na nyashi iwe imebalance kidogo ili dog style niwe naiona dunia yote.

Wazuri sana hapana, kwakwel naushuhuda nao
Naunga mkono hoja
 
Balance ni muhimu sana kwa sababu lazima ufikirie kizazi kitakachokuja kuzaliwa kitakuwaje?. Hata ng'ombe na kuku tukitaka kupandikiza lazima tuchague dume bora, good genes ni muhimu.

Usipoangalia binti zako wanaweza kuja kukosa wachumba ukubwani,ukawa na watoto wa kiume wafupi kama stuli. Wakaishia kushindwa kuingia jeshini kwa sababu ya kimo,wakakosa fursa za michezo kwa sababu ya kimo pia.

Ukitaka kuoa chunguza sana phenotype,ana nywele,kimo, rangi yenye nuru, akili za maisha. Hakikisha hana magonjwa ya kurithi,kigugumizi,ualbino, allergy za ajabu ajabu,sura isiwe pana au nyembamba sana. Mwanamke hatakiwi kuwa na flat foot nk .
Flat foot
 
Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?

Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?

Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya?

Zingatia neno TABIA MBAYA!View attachment 3584537
Kwa rangi za hii nguo sijui kwanini nahisi kama una maana tofauti na ulichoandikia.......au basi
 
Back
Top Bottom