Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Safi, ngoja aje kujibu. Emily magnus
Tumsubiri! kunyimwa K ndiyo sababu kuu ya kuwepo machangudoa na kiboko yake - Michepuko. Kwanza wenye K wanajisikia wakati wa ovulation na wakiwa ahela tu. Wakati sisi tungependa kila siku uzitoe.

Zamani haya mambo yalikuwa hayapo kwa vile K ilikuwa kwa ajili ya kumfurahisha mumewe, ukiambiwa ilete, unaileta.

Mungu bariki Wanawake wamejikomboa sasa; hivyo mwili wake si kwa ajili ya kufurahisha wanaume bali nao wana uhuru wa kufanya maamuzi kuhusu K zao. Nani wawape na ni wakati upi watoe. Hapo ndipo cha moto tunakipata
 
Back
Top Bottom